Nguo zilizochanika ni fasheni au?

MGOGO27

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
459
218
Habari za muda huu wakuu

Moja kwa moja kwenye swali linalonisumbua sana,naomba msaada kwani hizi nguo za kike na kiume siku hizi zinaletwa kutoka viwandani zikiwa zimechanika maana yake ni nini?

0d9460c44332ece07ca8e821d75b421f.jpg


38ee48bcf026a9be92979dac3e44da58.jpg


Inanichanganya sana hii kitu kiukweli????
 
Ukiingia kweye mtandao hiyo ni collection ya Kanye West wa marekani wala si kitukikodukani
 
Hahahaaa mkuu huna haja kusumbuka. Ni namna tu ya ubunifu (fashion). Wamiliki wa brand kubwa za nguo wanasema sasa fashion ni nguo zilizochanika/toboka.....then wanatumia watu maarufu kufanikisha hilo kupitia media. Wanajua watapata wateja tu coz wapo watu mob wanapenda fashion na wapo tayari kununua. See?
 
Bei yake halafu..
Ziko powa kwa joto city lakini, hewa inapita vzr.

Hivi ulishawahi kugundua pricing ya vitu vingi ambavyo ni trendy au vipo kwenye fasheni?

Just based on people's PERCEPTIONS.

Mtu ana perceive kuwa ni fasheni so lazima anunue at any cost, hapo ndo wengi wanapigwa.
 
Ni ulimbukeni, muendelezo wa ushoga na ukahaba hakuna Jipya hapo.
Maana angalia , wavaaji wote utajua ni akina nani na wanafanya mambo yapi katika jamii hasa njoo hapa kwetu afrika [hadi Tz] utaelewa watu.
 
Hiyo ndo safar ya watu mbeleni kutembea na boxer au vichupi eti fashion. Jaman huyu shetani katushika pabaya hasa akisaidiw na hawa wasanii,waingizaji etc (Mind Controllers) .Ee Mungu kushike mkono na kutuongoza ktk njia zako za haki
 
Back
Top Bottom