Kibunago JF-Expert Member Joined Jan 11, 2008 Posts 300 Reaction score 122 Oct 11, 2009 #1 Ingawa kunakosekana kipimo nyeti cha hali ya kupambana na Umaskini; Ingawa baadhi ya Takwimu zaweza kuwa ni za miaka miwili nyuma; Ingawa, kipimo na vigezo vyake bado vinaendelea kuboreshwa; Ingawa katika 10 bora hatumo, bado tunaweza kusimama kichwa juu na kusema katika 20 bora wa Mo Ibrahimu tumo! Na kama yangekuwa ni matokeo ya Wanafunzi wa EAC basi, sisi tunatangulia na wenzetu wanatufuata! Kumbuka kuwa, Takwimu kama nguo za ndani hufunulia kadamnasi fununu tu, kinachofichika katika Takwimu ni muhimu zaidi. REF: http://www.moibrahimfoundation.org/en/section/the-ibrahim-index/scores-and-ranking Attachments Matokeo ya Wanafunzi wa EAC.JPG 33.3 KB · Views: 59 Africa Top Twenty.JPG 22.1 KB · Views: 64
Ingawa kunakosekana kipimo nyeti cha hali ya kupambana na Umaskini; Ingawa baadhi ya Takwimu zaweza kuwa ni za miaka miwili nyuma; Ingawa, kipimo na vigezo vyake bado vinaendelea kuboreshwa; Ingawa katika 10 bora hatumo, bado tunaweza kusimama kichwa juu na kusema katika 20 bora wa Mo Ibrahimu tumo! Na kama yangekuwa ni matokeo ya Wanafunzi wa EAC basi, sisi tunatangulia na wenzetu wanatufuata! Kumbuka kuwa, Takwimu kama nguo za ndani hufunulia kadamnasi fununu tu, kinachofichika katika Takwimu ni muhimu zaidi. REF: http://www.moibrahimfoundation.org/en/section/the-ibrahim-index/scores-and-ranking
M Mkandara Platinum Member Joined Mar 3, 2006 Posts 15,961 Reaction score 9,345 Oct 11, 2009 #2 Labda maswali menngine muulizeni Salim Ahmed Salim ambaye ni board member wa Mo Ibrahim Foundation.
Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,557 Reaction score 2,533 Oct 11, 2009 #3 Mkandara said: Labda maswali menngine muulizeni Salim Ahmed Salim ambaye ni board member wa Mo Ibrahim Foundation. Click to expand... That is why I like to spend my time here...!
Mkandara said: Labda maswali menngine muulizeni Salim Ahmed Salim ambaye ni board member wa Mo Ibrahim Foundation. Click to expand... That is why I like to spend my time here...!