I ivanaGIZ Member Joined Aug 18, 2017 Posts 88 Reaction score 35 Oct 9, 2017 #1 Habari wakuu, nataka nianze biashara ya nguo za watoto za mtumba Naomba kujua ntapata wapi nguo grade A na kwa bei gani na nianze na mzigo kiasi gani
Habari wakuu, nataka nianze biashara ya nguo za watoto za mtumba Naomba kujua ntapata wapi nguo grade A na kwa bei gani na nianze na mzigo kiasi gani
Mgodo visa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 3,589 Reaction score 3,639 Oct 9, 2017 #2 Mazingira kwanza ni Rafiki....!! Mitumba ya watoto sio biasahara nzuri maeneo ya Ushuani au maeneo ya Uswahilini sana..!! Jitahidi kuwa katika Mazingira Neutral (si Uzunguni sana wa si Uswahilini) Usipozingatia hili biashara itakuwa ngumu kwako..
Mazingira kwanza ni Rafiki....!! Mitumba ya watoto sio biasahara nzuri maeneo ya Ushuani au maeneo ya Uswahilini sana..!! Jitahidi kuwa katika Mazingira Neutral (si Uzunguni sana wa si Uswahilini) Usipozingatia hili biashara itakuwa ngumu kwako..
I ivanaGIZ Member Joined Aug 18, 2017 Posts 88 Reaction score 35 Oct 9, 2017 Thread starter #3 Mgodo visa said: Mazingira kwanza ni Rafiki....!! Mitumba ya watoto sio biasahara nzuri maeneo ya Ushuani au maeneo ya Uswahilini sana..!! Jitahidi kuwa katika Mazingira Neutral (si Uzunguni sana wa si Uswahilini) Usipozingatia hili biashara itakuwa ngumu kwako.. Click to expand... Asante mkuu
Mgodo visa said: Mazingira kwanza ni Rafiki....!! Mitumba ya watoto sio biasahara nzuri maeneo ya Ushuani au maeneo ya Uswahilini sana..!! Jitahidi kuwa katika Mazingira Neutral (si Uzunguni sana wa si Uswahilini) Usipozingatia hili biashara itakuwa ngumu kwako.. Click to expand... Asante mkuu
Kyawanjubu JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 2,453 Reaction score 2,206 Oct 10, 2017 #4 Hajasema upo wapi
I ivanaGIZ Member Joined Aug 18, 2017 Posts 88 Reaction score 35 Oct 11, 2017 Thread starter #5 Nipo dar