Nguo yako imeandikwaje?

hahahahaha preta umevutiwa na kifua nini huyo akikuamulia utaweka kachupi kako kichwani ukimbie ati lol

ndo nataka nijue....amlete bila shati nione......
 
hahahahahahah haya bana tutakupoteza jamvini hapa ukiugulia maumivu na kama ndio unapiga kifo cha mende hunyanyui kiuno unashangaaa tubwi hii huku mdomono
lol laaa kucha mono mao .mbon tsafo Preta oko
 
una mambo wewe, siku zote nilikua najua we mtawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…