Rejea thread ilikuwa ya lini? alafu utagundua maneno mwaka unaisha sasa july yalimanisha mwaka wa mahusiano au mwaka 2013? soma kwamakini bila papara utaprove failure mwisho wasiku kwani mimi najua uongo huwa unajitenga na ukweli! narudia sina hasira ila hii ni true story upo?
mm nakupata sana hata huwa sihangaiki na wewe huwa nasema u can make me fool once! na hapo huwa sijioni mjinga huwa nakuona wewe ndio m.jinga ntajiona m.jinga ukirudia kunigeuza m.jinga nikakubali! watu8 usidhani mimi na ww tutarudia same situation kama last year nah my dear mimi huwa nikisha mufahamu mtu hata hapa nimeamua tu kukwambia ujue lakini usitegemee mimi tena kujibizana na debe tupu this year!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Visa vyako na sredi zako za nyuma zinanipa kila sababu ya kutokuiamini hii habari mkuu...
Wakati mwingine tunashindwa kutoa msaada wa mawazo kwa kuwa hatujui nani mkweli na nani mchangamsha kijiwe...
stay with ur stand mkuu!!!!!!!!YOU MIGHTY BE SPEAKING THE TRUTH BUT NOT BEYOND REASONABLE DOUBT.THAT WHERE I STAND. Post uliitoa 29th December 2013 13:51.its obvious ni kipindi mwk unaisha... na wala si mwk wa mahusiano..bado uongo haujajitenga and you need to prove me wrong
mm nakupata sana hata huwa sihangaiki na wewe huwa nasema u can make me fool once! na hapo huwa sijioni mjinga huwa nakuona wewe ndio m.jinga ntajiona m.jinga ukirudia kunigeuza m.jinga nikakubali! watu8 usidhani mimi na ww tutarudia same situation kama last year nah my dear mimi huwa nikisha mufahamu mtu hata hapa nimeamua tu kukwambia ujue lakini usitegemee mimi tena kujibizana na debe tupu this year!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ulikuwa hujamwambia kuwa haukuwa na ntu kabla yake,so anajua kakukuta bikira?.mwambie ukweli tu utakuwa huru Zaidi!
Nilichofanya mimi tumelala sote kwenye kochi, mwanzo alinihama nikamfuata akahama tena nami nikamfuta mwisho wa siku nikawa naongea ananiangalia nilimweleza ukweli akanitaka nimupigie e-x nikawa namba sina ila nikampigia rafiki yangu anayo akanipa tukaweka loud akapigiwa naye inaonesha alikuwa na mchizi usiku akarusha hanifahamu labda nimekosea namba! nikatuma sms akajibu usitume sms niko na mme wangu tulisha achana kwa nini kuharibiana july? basi nitafute kesho nakuomba jul usipige simu wala kutuma sms! japo mimi najua hajaolewa ila angalau majibu yake yalimufanya mrembo wangu kunisikiliza ila kasema nisiende job wala yeye haendi job leo anataka baadae apigiwe e-x athibitishe kama kweli chupi ni yake akisema ni yake ajue kwa nini aliiacha akishajua hayo basi ndio atachukua maamzi anayoona yanafaa ila sote tumelala kwenye kochi! no game wa kuvua nguo duh! japo usiku sana mpaka asubuhi nilikumbatiwa! na kanisalimia ila sasa kalala kitandani sihitaji kumsumbua ili ahsubuhi tumpigie e-x!
Pathetic fat @ss loser...
Mwanaume mzima unakuja jamvini kulia lia eti chupi ya mpenzi wako wa zamani imenaswa na mpenzi wa sasa...
Kituko ni eneo ambalo hilo chekeche la ex lilipokutwa, eti chini ya godoro...seriouslyyyyyy???
Dude!!! jifunze kuwa msafi, safisha chumba chako mwenyewe...acha kuwa kama zigo la mavi kusubiri kila mara uzolewe...
Utakuwa mchafu sana wewe, ina maana usafi chini ya uvungu kwako ni mwiko.
Ungekuwa na kawaida ya usafi wa jumla wa chumba ungelikua ushaona hayo.
Otherwise the whole thing ni fiksi kuchangamsha kadamnasi.
mm nakupata sana hata huwa sihangaiki na wewe huwa nasema u can make me fool once! na hapo huwa sijioni mjinga huwa nakuona wewe ndio m.jinga ntajiona m.jinga ukirudia kunigeuza m.jinga nikakubali! watu8 usidhani mimi na ww tutarudia same situation kama last year nah my dear mimi huwa nikisha mufahamu mtu hata hapa nimeamua tu kukwambia ujue lakini usitegemee mimi tena kujibizana na debe tupu this year!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Visa vyako na sredi zako za nyuma zinanipa kila sababu ya kutokuiamini hii habari mkuu...
Wakati mwingine tunashindwa kutoa msaada wa mawazo kwa kuwa hatujui nani mkweli na nani mchangamsha kijiwe...
Pathetic fat @ss loser...
Mwanaume mzima unakuja jamvini kulia lia eti chupi ya mpenzi wako wa zamani imenaswa na mpenzi wa sasa...
Kituko ni eneo ambalo hilo chekeche la ex lilipokutwa, eti chini ya godoro...seriouslyyyyyy???
Dude!!! jifunze kuwa msafi, safisha chumba chako mwenyewe...acha kuwa kama zigo la mavi kusubiri kila mara uzolewe...
kweli tulisha mpigia e-x kakiri kuiiacha na hata hivyo kashauri ipigwe kiberiti! kanisamehe ndio anaandaa chai!Tumia siku yako nzima kumbembeleza, na kuomba msamaha umemuumiza sana....
mzima wewe?mhhhhhhh......aiseeee im speechless!!
Hongera,ila mie mwanaume asiejiheshimu heshima yangu ataisikilizia bunge la katiba...nampa zake za uso akitaka kujirekebisha poa asipotaka abebwe na mawimbi apotee...
kweli tulisha mpigia e-x kakiri kuiiacha na hata hivyo kashauri ipigwe kiberiti! kanisamehe ndio anaandaa chai!
usiwe nashaka you may!That's gud jioni mtoe out kurudisha mood
kama bajeti iko poa naweza kuwasindikiza na mie.....:loco::loco::loco:
Kuna binti niliwahi kuwa naye sasa kumbe aliacha kipichu chake chini ya godoro la kitanda changu, leo nilitoka nimerudi mchumba kanuna mpaka basi, nauliza tatizo nini? naonyeshwa pichu ya e-x, mchumba kalia mpaka basi haelewi hili wala lile mbaya zaidi sikuwahi mwambia nilikuwa na mtu kabla yake!
Mpaka naandika ujumbe huu kalala kwenye kochi chumbani jamani nifanyeje? na nyinyi bi-dada zetu unaachaje nguo tena ya ndani kwa mvulana wako bila taarifa? kichwa kinauma nahisi kupoteza mtu nilie msotea miaka mingi jamani duh!!!!!!!
ushauri wako jamani mtoto ana hasira hata sielewi nafanyaje ananiona si mwaminifu kabisa!
julius mahinya ur always full of surprises....:tape2::tape2:mzima wewe?