Mlevi mmoja aliingia pharmacy na kusema "tafadhali nipatie condom" Mhudumu akabwatuka na kusema "Kaka mbona huna heshima? si uagize kwa lugha nzuri?" Jamaa akaona isiwe taabu, akafungua zip na kutoa dushelele yake na kuiweka mezani kisha akamwambia mhudumu "Tafadhali dada naomba unipatie nguo ya hii kitu" huku akiigusa kwa kidole!