Wanachotaka kumfanya huyu sijui... ila hizi nguo fupi madada zetu wawe wanaangalia na mazingira... ni ushauri tu msije mkaniletea za Kagame hapa...
![]()
Mkuu umetisha....umejuaje?
hii nguo nzuri tuu jamani
Wanachotaka kumfanya huyu sijui... ila hizi nguo fupi madada zetu wawe wanaangalia na mazingira... ni ushauri tu msije mkaniletea za Kagame hapa...
![]()
Aisee, Iringa imekua kiasi hiki? Naona vikwangua anga huko kwenye background. Nilikuwepo huko miaka mitano iliyopita, palikuwa pa kawaida sana. Hii ni mitaa gani kaka?ninauhakika hapa ni iringa.
hivi kuna aina ngapi za wasichana jamani naombeni msaada