Mbona maudhui ya kichwa cha habari na habari yenyewe ni kama vinatofautiana?
Hata hivyo ngoja nijikite kwenye habari kama ambavyo umejitahidi kujifaragua.
Mara zote upendo huwa haujivuni, hausemi uongo hivyo suala la kuuonesha kwa mwenzi wako sio suala la kujilazimisha bali ni wajibu.
Hivyo mwenzi wako anapaswa kutambua na kujua ni kwa namna gani anapendwa.
Hawa wanasaikolojia wanavyopendwa kusingiziwa jamani!!!!!!!
Mpende akupendae..!
- Ukimpenda mtu na kumuonesha wazi kuwa yeye ndiye kila kitu kwako(kimahusiano), basi huyo mtu atakufanyia vituko kwakuwa anajua kwakwe umenasa kweli kweli.
Huu Mtazamo siyo sahihi
- Nilijaribu kuongea na mwanasaikolojia juu ya swala hili akasema huo si mtazamo sahihi, na kuongeza kuwa, ukimpenda mtoto wa kike kwa asilimia kadhaa, yeye atakupa mara mbili ya upendo wako.
Huu mtazamo una ukweli ....
asiyekupenda achana naye.
pamoja sana mkuuNdio maana yake..!!