Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,317 Mar 21, 2017 #1
Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 1,340 Reaction score 1,378 Mar 21, 2017 #2 Refa yuko wapi sasa?Hiyo ngumi ya woga atakayorusha huyo mama jamaa atalalamika kwamba kapigwa nyundo
Refa yuko wapi sasa?Hiyo ngumi ya woga atakayorusha huyo mama jamaa atalalamika kwamba kapigwa nyundo
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 Mar 21, 2017 #3 Mbona kama kolomije hapo!!!?
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 6,003 Mar 21, 2017 #4 Watamsingizia bwana Daudi Bashite
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 Mar 21, 2017 #5 Kuna mmoja anajiandaa kutoka nduki.
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,574 Reaction score 12,318 Mar 21, 2017 #6 Haaaaa! Huyo jamaa si alale mbele
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,317 Mar 21, 2017 Thread starter #7 jogi said: Kuna mmoja anajiandaa kutoka nduki. Click to expand... Huyo binti au huyo mvulana?
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 Mar 21, 2017 #8 Pastor Achachanda said: Huyo binti au huyo mvulana? Click to expand... Huyo mvulana, Binti namlia "taiming" amkamate halafu amuangukie.😀
Pastor Achachanda said: Huyo binti au huyo mvulana? Click to expand... Huyo mvulana, Binti namlia "taiming" amkamate halafu amuangukie.😀
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,871 Reaction score 23,488 Mar 21, 2017 #9 Atakayesema kuna njaa akamatwe mara moja.
Yudasti JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 1,094 Reaction score 1,619 Mar 22, 2017 #10 We unaona ngumi za mikono hapo ni ngumi za vikojole[emoji92][emoji92][emoji92] zinatafutwa
N niah R I P Joined Sep 26, 2015 Posts 7,018 Reaction score 9,306 Mar 22, 2017 #11 Mama Bashite anamtetea mwanae asisakamwe zaidi na Gwajima hapo Koro.
Aishah2016 JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 2,225 Reaction score 2,482 Mar 22, 2017 #12 PAGAN said: Atakayesema kuna njaa akamatwe mara moja. Click to expand... [emoji3] [emoji3] [emoji3]