Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Aug 19, 2012 1,340 1,377 Mar 21, 2017 #2 Refa yuko wapi sasa?Hiyo ngumi ya woga atakayorusha huyo mama jamaa atalalamika kwamba kapigwa nyundo
Refa yuko wapi sasa?Hiyo ngumi ya woga atakayorusha huyo mama jamaa atalalamika kwamba kapigwa nyundo
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,760 10,146 Mar 21, 2017 #6 Haaaaa! Huyo jamaa si alale mbele
Pastor Achachanda JF-Expert Member May 4, 2012 3,023 1,315 Mar 21, 2017 Thread starter #7 jogi said: Kuna mmoja anajiandaa kutoka nduki. Click to expand... Huyo binti au huyo mvulana?
jogi JF-Expert Member Sep 25, 2010 25,556 25,334 Mar 21, 2017 #8 Pastor Achachanda said: Huyo binti au huyo mvulana? Click to expand... Huyo mvulana, Binti namlia "taiming" amkamate halafu amuangukie.
Pastor Achachanda said: Huyo binti au huyo mvulana? Click to expand... Huyo mvulana, Binti namlia "taiming" amkamate halafu amuangukie.
PAGAN JF-Expert Member Aug 19, 2014 11,767 19,301 Mar 21, 2017 #9 Atakayesema kuna njaa akamatwe mara moja.
Yudasti JF-Expert Member Jan 22, 2017 947 1,353 Mar 22, 2017 #10 We unaona ngumi za mikono hapo ni ngumi za vikojole zinatafutwa
N niah R I P Sep 26, 2015 7,019 9,291 Mar 22, 2017 #11 Mama Bashite anamtetea mwanae asisakamwe zaidi na Gwajima hapo Koro.
Aishah2016 JF-Expert Member Jun 11, 2016 2,225 2,482 Mar 22, 2017 #12 PAGAN said: Atakayesema kuna njaa akamatwe mara moja. Click to expand...