Du jamaa yangu pole sana maana hata mm siamini ilikuweje ukapata ujasiri wa kumpiga wa mbele ukamuacha aliyekukaba kumbe wa mbele anaenda gonga lori
Je hiyo Toyota 100 Limited ilipona au uliinyoosha na kuiuza?
Kwanza ahakikishe anapata haki miliki ya hii story maana Shigongo akiiona atatunga kisha aseme ni yake na akusanye mpunga wa kutosha
hii yote ni katika kuongeza kipato...... ee jamani pesa zina mambo!!!
pole mwaya!
Duu! RIP kama ungekufa.
yaani wewe badala ya kumpa pole mwenzio unamuombea angekufa...mabumbu yako!Duu! RIP kama ungekufa.
Dah huu mji nibora nirudi mkoa tu
Aisee kuna watu hawana huruma kweli..pole ndugu yangu japo ni siku nyingi lakini kumbukumbu hazitoki kichwani
siku hizi tunaishi kama simba na swala mbugani..ukikosea tu wanakupiga
upigaji imekuwa ni ajira na watu wanajivunia kuufanya kwa style yoyote bila kujali madhara,nondo,kabali,dolomee,kakumba,documaa etc etc
Mkoa ndio waakuloga sasa sijui utamrushia nani ngumi