Ngulika Nguli

Ngulika Nguli

kalooo 25594

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
300
Reaction score
194
Sema:Hakuwa yeye (Isa) ila mtumwa tuliyemnemesha na tukamfanya mfano wa bana israel,hakika Yeye Ni dalili za alama za kiyama,( 1Timotheo12-19,Waraka wa waebrania7,Isaya 53, Mhubiri4;15,2wakorinto12,Kuran66).

Aliyekuwa adui wa Jibril Huyo ndo aliyeiteremsha kuran Moyoni mwako kwa idhini ya mwenyezi Mungu inayobainisha Yale yaliyokuwapo Kabla yako.Aliyekuwa adui wa malaika,Mitume,Mikael,Mungu na Jibril hakika Mwenyezi Mungu adui wa Makafiri.( No woman No Cry,Najua wamridhia Yule Mwanamke yezbul Sasa umwambie atubie uzinzi wake asipotubu nitawatimizia kitandani na hao waziinio naye na watoto wao wasipate kuamka,Katika Wanawake 1000 sikuona hata mmoja ila mwanamme mmoja Katika 1000 nilimuona).Na Mtume (Isaya 8) kakaa utukufu je hakuzaliwa toka tumboni Basi Kama ipogo hiyo hayo ndo mapenzi na idhini ya Mungu maana ajiitaye nabii Ni mwanamke Wala hakuitwa nabii wangu.

Bob Marley Time will tell,time alone Sikuzake zikawa 2300 mpaka hapo 17.3.21 hiyo Jumatano ya mwanzo wa Juma,Sema keshokutwa Watatangaza. Basi Huyo kwake kiapo kiliwekwa katikati au 2012 hahahah Basi nyuma walikuwako watatu na wa tatu mfupi anaupaa Eti awe wa tano tu kumbe wake umeelekea Chini,na mbele yake watatu Tena Yaani Jakaya mriKikwe,Huyo wa upaa wanyama kilima uso wake na Huyo aliyetawala Kama Mwanakondoo(666) yaani wa 6 Katika Ole wa pili Na Bado ole nyingine et Dunia hudumu daima,Kizazi huenda Kizazi huja,Kizazi kipya kinazengua na Bongo fleva Kimekuwa Kizazi Cha Tisini(1991 au 1990+) Basi na moja ila mbili nyakati na nusu wakati katika huo wakati ikawepo hesabu ya siku 3335 ukomo wa hao ambaye Yeye aliyeondoka Siku 1290 Kabla ya uchaguzi wa 2025 aliwaita wakosaji na hawajafanya lolote akamsakama Huyo wa Tano Katika hesabu ya Mungu kupewa utukufu juu ya Kazi Yake NJEMA itakayokumbukwa hasa Kabla ya 2034 ,Well come 2035 Na hii ndo Riziki Mafungu Saba Nani upanga akaamka si kwa Neno la Mungu Zekaria13,7-9 ?Isaya 53 wee,2wakorinto12 uiiii,Hiyo ndo Contawa na wa Mitego si mwanamke aliyempanda uchungu Sulemani Ila True boy Wa hayawe Wapo kila kundi Basi Bahati SI ya Bukuku- tu eti Nani aitikise dunia Kilio chetu kimlilie Mungu wew huujui Basi Tsunami Nani atuhurumie SI sauti ya Mtu aliaye Nyikani( Simba wa Nyika-Tanganyika) siyo Yule Les wa nyika ila Ni Kasuku Mwana atatuletea Tena alikuja kukamilisha,Sasa ataanza Kazi ya Utawala na Na mingapi Kama aliondoks na 33,34 kweli ataanza akiwa na wakuu na 44 atakuwa Mkuu wa wote wenye mwili,,Aiii wapi Misri, Algeria,Somalia Morroco nawewe kushi wa zamani hakuona kauli mbiu ya 2023 juu ya Upatanisho hiyo February Si alianza Kongo kwanza haikuwa wiki Moja na 7 za tarehe 12-07-21 mpaka 5-08-2021 na 25-10-21 hakuanza usajili kumbe Mama yenu Huyo wa sita alimupenda Si kwa kuwa alimuona Wanakubaliana 31-12-2022 nyakati za Mvua ya hayo ili Maono Kama Ya mwanzo baada ya dhiki kuu kipindi gani kumbe ili waasisi Wa bara Lile na Watu wale Yatimizwe Si furaha ya Black Uhuru wana wa Mfalme Haile Selase king of Ethiopia Kama Asemavyo Marley look on my Sycamore tree Freedom tree Children Weep No more,Yaani wakimbizi,Watu wasio na Makazi warudi Makwao wawe Sehemu ya Msitakabali wa Maendeleo ya Dunia sasa Bahari Amsha Wafu na hao waliolala Katika mavumbi.Hema zako ziko wapi si Nchi ya mlima wa Uzuri na bahari wasomi wakasema Nchi ya weusi Zinj Bar.

Bendera mlimani Bongo ipo na Simiyu na Mhubiri kasema Jimbo je asiongee Busega kisa Mama Hana Mpinzani wanoutaka uraisi Kama asemavyo Kikwere Ni Wapuuzi tu haoni labda Mambo Yabadilike Sana hahaha Ana nguvu huyu wa kwanza nikiwa mtoni na elimu na wangapi kumbe Katika mtiririko na Nguvu zake Muulize Huyo wa nawsalimu kwa Jamhuri kamtoa Wapi, basi watupe hicho kijacho kutuondolea dhambi maana Nani mzee wa Kale si baba yake na Kasuku Mwana( Simba wa Nyika) hakuwepo kwa mzee Simba( mwanae) akijaliwa kwa kila zuri hata chai nikalale akaona( Daniel13:7) uwiii imeisha hiyo Basi nyinyi Warefu,walaini,wenyeNguvu Ambao Kwenu Mlitisha tangu Mwanzo( Nani Si Igulu na miujiza) Basi hili ndilo agano Bora Kama Paulo Asemavyo ambalo mdhamini wake alikuwa Mnazaret Sasa kampanda Huyo farasi mweupe kashinda na kashinda Tena Vita ( Kilio Cha vitani/kauli / Ni yohana 17;21) ,,,,,Haha hah hah duh tumekwisha na ubishi wetu ama kweli siku tatu unusu kiinukacho na kufurika juu Kama Moshi Nani aliona Just,mwezi au nyota) .Basi Watu wa Simiyu tunawashukru hakika hii Ni dhabihu,Sadaka na Toleo lililobora.Mobeja Sana Karangele katogisha get obisa mhala baboni alemiaka 2000 mbili hange na takataka wengine mnaita ushee Itakuwa leo ? Kashinda Na leo Uhuru wa Watu Weusi Zagamba japii umeonekana,Egeko Temaga Ntemi Obatemi ulitabiliwa Kabla ya Dar eslaam na ukaja kupewa hiyo Fimbo na Mungu wako na kiti ukapewa na Kifuani ukakaa na hili ndilo la mwanzo aise Umekubalika Sana,Wapi tz imekuwa Jimbo duh South Afrika hata kwa Miguu naenda alikumbe ipo viza Tena,Omalaga Utolo ate na mele katolomayo.

kurani90,Kurani100 ndo Huyo surah 43;57-61.




Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Tunga kitabu tu ndefu mno nimeona kuna mambo ya udini nimejaribu kama naweza nimeamua kupita hivi🤣🤣🤣
 
Hii code ni nzito...

nimeisoma yote mimeelwa sehemu ndogo.

mama yenu huyo wa sita walimupenda siwalijua wanakubalina tarehe.
 
Back
Top Bottom