Elias Msuya
Senior Member
- Dec 23, 2011
- 173
- 671
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasilino wa CUF, Mohamed Ngulangwa amejitojitokeza kuwania nafasi ya umakamu mwenyekiti wa CUF katika uchaguzi wa marudio wa chama hicho ulioamuliwa na Msajili wa vyama vya Siasa.
Februari 13, 2026 Msajili wa Vyama Vya Siasa alitengua ushindi wa Profesa Lipumba na safu yake ya uongozi akieleza kukubaliana na malalamiko ya wanachama waliodai kuwa kanuni za uchaguzi zilikiukwa.