Kama mimi sura inasoma under 30
Ngoma na dance vilitumika na wahenga wetu kukabiliana na stress. Inabidi tujifunze mbinu za kupambana na stress kama counselling.Ukiachana na hao wa nje tukija kibongo bongo kwa weusi. Stress na umasikini vinazeesha fuatilia utaona haijalishi cha ngozi nyeusi wala nini
Stress linaleta hili lizee bana Kijana hana ajira kila siku stress tu ataachaje kuzeeka mapemaNgoma na dance vilitumika na wahenga wetu kukabiliana na stress. Inabidi tujifunze mbinu za kupambana na stress kama counselling.