Ngozi ya mtoto mchanga

Ngozi ya mtoto mchanga

natamba

Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
11
Reaction score
0
Habari wakuu,

Kwa nini mtoto mchanga aliyezaliwa anakuwa na ngozi kama ya wazungu na baadae anakuwa mweusi, lakini watoto wachanga wa wazungu hawabadiliki kuwa weusi. Ikoje kitaalam.
 
kuna rangi ya mtu ya asili, kama wazungu ni weupe waswahili ni weusi, lkn vilevile kuna albinism ni weupe pia. Lakini kuna waswahili weupe, kuna ngozi ya utotoni ambayo mtoto akishafikisha kama wiki na kuendelea huanza kutoka na kubaki ya asili. Haya ni mambo ya genetics and body makeup.....nadhani watu wa biology wanaweza kuifafanua zaidi.
 
kwa nini mtoto mchanga aliyezaliwa anakuwa na ngozi kama ya wazungu na baadae anakuwa mweusi, lkn watoto wachanga wa wazungu hawabadiliki kuwa weusi. ikoje kitaalam.
Ndio maumbile yake alivyoumba Mwenyeezi Mungu hakuna makosa kwani wewe ulitakaje zaidi anavyoumba Mungu? Mkuu natamba?
 
Last edited by a moderator:
Kama we unaipenda hiyo ngozi ya utotoni basi mwendelezee kwa kumpaka Tent na Kalolait,ila mi hiyo ngozi siipendi na sipendi hata kuwaangalia watoto wakiwa bado wana ngozi hiyo
 
Hata mzungu akizaliwa afrika na kukulia huku atakuwa naye mweusi tu
 
Back
Top Bottom