Habari wana jf,
Nilikuja hapa muhimbili kumuona ndugu yangu anaumwa na ameshafanyiwa operation ya mguu.
nilipofika na gari yangu nikapaki pembeni kidogo na gari la mwaarabu mmoja.
Niliporudi kulichukua ile nakaribia tuu kufungua mlango nakumbana na matusi tena ya kiutu uzima sana.Yaani anaporomosha matusi kama hana akili nzuri,angeendelea ningemvunja mguu.
Vipi ndio kawaida yao kutukana hawa watu na ni wageni katika nchi yetu.
Kweli tupo Tanzania