Ngosha na muuza duka.

EEX

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Posts
4,404
Reaction score
14,268
Ngosha alienda duka wanalouza vifaa vya elektroniki na chezo lilikua hivi;

Ngosha;tv bei gani?

Muuzaji;siuzi tv,ondoka we Ngosha.

Ngosha akaondoka akaenda kunyoa nywele na ndevu akarudi upya.

Ngosha;tv shilingi ngapi?

Muuzaji;nimesema siuzi tv,ondokaa we Ngosha.

Ngosha akaondoka akaenda kuvaa kofia,akakunja sura aonekane tofauti.

Ngosha;mzee tv bei gani?

Muuzaji;siuzi tv na ondoka we Ngosha.

Ngosha;samahani mbona kila nikijibadili,unanitambua na hutaki kuniuzia tv.

Muuzaji;ninakugundua kwa sababu hii ni microwave oven na sio tv.
 

Umetisha Ngosha....heheheeeee!!
 
Hahahaaa,kumbe ni washamba hivi?
 
hahahahaha, ukienda huko kwao wakija dukani huwa wanasema "naomba hiyo tv ya laki tano", kumbe inauzwa laki tatu. mangi hapo anafunga haraka na kuchukua mpunga.
 
hahahahaha, ukienda huko kwao wakija dukani huwa wanasema "naomba hiyo tv ya laki tano", kumbe inauzwa laki tatu. mangi hapo anafunga haraka na kuchukua mpunga.

Hahahahaaaa Ngoshaaaa....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…