Ngosha baada ya kuuza ng'ombe

Haahah hata kama mshamba hivi huniveshi aisee duh!!!
 
Mpuuzi ww , kwan kila picha zinazopostiwa humu zina mandhari halisi?
Ww kama ni Ngosha sema lakn ukweli ni kwamba huyo katoka kuuza ngombe ni ngosha
Anataka kila picha iwe Na uhalisia utazan mtafiti
 
Ww ndo limbuken ungekijua zaidi hili jukwaa la picha usingeleta upumbavu wako..
Ila kwa kuwa ww jinga ndio maana unaleta ujinga
Kwanza sahihisha signature yako wewe kilaza. Ni courage na siyo caurage. Angalia ulivyoandika: Life shrinks or expands in proportion to one's caurage. Ha ha ha.
 
Kwanza sahihisha signature yako wewe kilaza. Ni courage na siyo caurage. Angalia ulivyoandika: Life shrinks or expands in proportion to one's caurage. Ha ha ha.
Achana na sahihi yangu hapa tunajadili kinachotakiwa kupostiwa kwenye hili jukwaa..
Hebu fuatilia post mbalimbali za kwenye ili jukwaa ... Ukishazifuatilia halafu njoo na hoja zako..

Tatzo unakariri sana
 
Kumbe ndo zao kuvaa mabwaga,wanahisi wanaendelea kukua nini?
 
Ha ha ha, unajidanganya. Huo ndio ninaouita ulimbukeni wa mtandao. Ndio maana unaandika caurage badala ya courage na huoni haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…