mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,032
Mi hapajawahi nikinai kusema kweli, nishaenda mara 3 but still I want to go more and moreKiukweli ngorongoro ni pazuri saana.
Kabla hapaja jaa watu wa kusumbua sumbua wanyama kama nyati,tembo tulikuwa tunapishana nao 100meters...
Ngorongoro ni moja ya sehemu nzuri sana Tanzania.