Ha ha haaa!!! Hii mada yako ya leo imenifurahisha sana Mzee Mtambuzi
Mtambuzi Naunga mkono hoja ktk thread yako!
Tena hili tendo naonaga haitakuwa na kusema baada ya tendo zaidi ASANTE my DEAR na heshima inaendelea kama kawa vile!
mhm hiyo ya spontaneous ni kwa magoma wa ulaya...sio wa bongo...wa bongo unamwambiaa keaho gueat flani mida flani watu mnaenda gegedana...
so mtambuzi unamaana kwamba wengi wa wanawake wakibongo ni makahaba? if so kwa nini wanaume wanawaoa?
kama nimeelewa vizuri mada, huu mfano wako hatuwezi kuuingiza hapo. tayari wewe ulikuwa unawaza akilini mwako kuwa unaenda kutafuta kimwana huko maporini, haijalishi ni nani, lakini ulijua utapata.Mkuu hiyo makitu bana we acha tu, nakumbuka kule kijijini tulikuwa tunaviziaga vibinti mtoni au mashambani, hata huna ahadi naye ukikutana na yeyote kakukalia sawa, unasongesha hata ung'atwe na siafu husikii, maumivu utyasikia baadae sana.............LOL
Ha ha ha haaaaaa, mkuu, Young Master hebu nipe uzoefu wako basi.............LOL
kama nimeelewa vizuri mada, huu mfano wako hatuwezi kuuingiza hapo. tayari wewe ulikuwa unawaza akilini mwako kuwa unaenda kutafuta kimwana huko maporini, haijalishi ni nani, lakini ulijua utapata.
hapa tuzungumzie ambapo wote wawili hamna hata akili ya kusema leo inawezekana hiki kikafanyika, mnajikuta tu mmefanya.... hii nadhani inatokea pia hata kwa wapenzi...... unakuta mmepanga twende sehemu kutembea, kutembea tu na hakuna anayewazia chochote kikatokea.....hata zana hamna, lakini ikatokea...............
Sijasema wanawake wa kibongo ni makahaba, usinichonanishe na dada zangu humu JF...............
asikwambie mtu hivi vya unplanned ni vitamu balaa..
Mkuu Mtambuzi hii kitu ina faida na hasara zake!
Ngono nzuri ni ile ambayo unajikuta umefanya ngono na mwanamme au mwanamke bila kuwa na wazo lolote kuhusu ngono, bila kuwa na hisia yoyote kuhusu ngono, wote wawili hamkuwaza kuhusu ngono, hamkupanga, hamkuwa na ahadi yoyote ya kufanya ngono, mnajikuta tu mmefanya.
asikwambie mtu hivi vya unplanned ni vitamu balaa..