Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 252
Mwanaume aliekamilika mwanandoa anaweza kufanya mapenzi mara ngapi kwa siku/wiki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanandoa hawafanyi ngono wewe....
Inategemea na pumzi yako....kwanza kabla hatujakujibu wewe ni me au ke maana hauchelewi kwenda kumhukumu mwanaume mwenzetu kwa majibu yetu hapa.
Hamna kitu kama hicho..Nawashauri vijana wenzangu msifanye sana mapenzi kabla ya kuoa. Ukishaoa ukatulia hamu ya zile show za kibabe za kukomoa, za kuonja kila demu mkali hazipo tena.
Ukiangalia uume utauonea huruma umekaa kiuzuni, ulitumika sana, unapiga viwili hamu hakuna.
Nadhani wanaume waliojitunza ujana wao wakiingia kwenye ndoa wanakuwa na hamu sana ya kusex kila mara kuliko wale wanaume waliokuwa malaya uume una expire![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaoa bado mzee..nimetumia sayansi ndogo tu kukubishia.
Wewe hujaolewa Dinazarde??Nasikia watu wakioana wanaishi kama dada na kaka

Wanandoa hawafanyi ngono wewe....
Inategemea na pumzi yako....kwanza kabla hatujakujibu wewe ni me au ke maana hauchelewi kwenda kumhukumu mwanaume mwenzetu kwa majibu yetu hapa.
Nawashauri vijana wenzangu msifanye sana mapenzi kabla ya kuoa. Ukishaoa ukatulia hamu ya zile show za kibabe za kukomoa, za kuonja kila demu mkali hazipo tena.
Ukiangalia uume utauonea huruma umekaa kiuzuni, ulitumika sana, unapiga viwili hamu hakuna.
Nadhani wanaume waliojitunza ujana wao wakiingia kwenye ndoa wanakuwa na hamu sana ya kusex kila mara kuliko wale wanaume waliokuwa malaya uume una expire![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Na waliojichua je?Nawashauri vijana wenzangu msifanye sana mapenzi kabla ya kuoa. Ukishaoa ukatulia hamu ya zile show za kibabe za kukomoa, za kuonja kila demu mkali hazipo tena.