Ngono Kabla ya ndoa

Ngono Kabla ya ndoa

6.usizini.
7.usiseme uongo.
8......................
9......................
Sasa sijui wewe huelew wap
 
Kama mnaendaa kuoana je??

Kidini huwa hairuhusiwi kufanya ngono kabla ya ndoa ni mpaka pale mtakapokuwa mmeowana ndio mnapewa izini ya kushiriki unyumba na ndio maana hata yusufu alinuia kumwacha mariam wakati alipokuwa amemposa na kabla ya ndoa yao akaja kugundua kuwa ni mja mzito. Hata hivyo malaika wa bwana alimwambia asimwache mariam mkewe kwa kuwa kiumbe alichokibeba ni kitakatifu.

In fact maandiko yako wazi kuhusiana na maswala hayo ila kwa haraka zetu na kukosa uvumilivu hujikuta tumetenda zambi hiyo ambayo wakati mwingine huwa ni majuto kwetu. Masalani msichana anaweza kubeba mimba na mvulana akaikataa akasema si yake na wasijuane lakini kama wangekuwa kwenye ndoa isingewezakana mume aseme ujauzito wa mkewe si wake. Au wakati mwingine kijana hulazimika kumuoa mtu ambaye labda hakuwa chaguo lake lakini kwa kuwa amepata ujauzito na yeye ndio muhusika anakuwa hanajinsi.
 
Back
Top Bottom