Ng'ombe wa maziwa

Joined
May 13, 2022
Posts
7
Reaction score
2
habari zenu wadau,karibuni Ng'ombe wa kisasa wenye maziwa na mitamba kwa mawasiliano piga simu namba 0759927746
 
Mkuu sasa wewe uko Kenya huko kaka mega tutawafuatenyeje?

Ksh laki 5 ni hela kubwa sana. Hio bei sio ya ng'ombe
 
Mkuu safisha Banda mbona chafu sana. Wasalimie hapo Sing'isi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…