Video yake inasambaa sana kwenye social mediasWw umemjuaje ??tuanzie hapa
Social media gani uliyoona hiyo video, maana ziko nying????tuje hapa
wamempaka rangi!
Shabiki wa Chelsea
Angalia kwenye page ya Millard ayo Instagram utamuonaSocial media gani uliyoona hiyo video, maana ziko nying????tuje hapa
Hapana yule sio wa kupakwa rangi Mkuu, ni natural kabisa.wamempaka rangi!
Ametumia kamera ya 360