umeshawahi kuona n'gombe mwenyeb hips? Bado! Yani we kila kitu bado. Haya sasa huyu hapo kazi kwako.
Photoshop hiyo.
Mkuu hayo si photoshop hayo ni madhara ya kupandikiza mbegu ya farasi kwa Ngo'mbe na kinyume chake.
Hii kitu kipompaka kwenye mazao(kwa kifupi ni GMO uki-google utapata elimu ya kutosha