Ng'ombe mmoja anatoa kg 25 za kinyesi?

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
5,304
14,913
wanasayansi wa nchi hii sjui wantuonaje SS kwamba hatujitambui au n kizaz kisicho hoji

Ripoti ya mto Mara juu ya vifo vya samaki imeniacha na maswali lukuki

Nina ng'ombe wawil hapa Tena nawafuga kisasa kwa kuwapa chakula kwa wakat lakn hawajawah kutoa kg 10 za kinyes kwa siku

Nadhan uprofes sio kusoma wanapewa TU

Sisi wengine tumekulia familia za kifugaj na kivuvi tuliowah chimba/mabwawa au visima vya samak nadhan mtakubaliana na mm tulikuwa tunaambiwa tuweke KINYESI cha wanyama katka visima vya samaki au mabwawa mbona samak hawakufa

***************

Kumbe hii taarifa ina mkanganyiko Zaid sijui tumuamin Nan Kat ya haya makundi mawili

Hi n ripoti ya bonde la ziwa viktoria wanasema sababu n mafuta

Lakn yule profesa anasema n kinyesi hakuna hata ukaribu wowote wa ripoti hiz mbili

Tunaomba serikali ituambie imeikubali ripoti ipi Kat ya hizi

Wasilete utani kwenye afya za watu
View attachment 2157420
 
wanasayansi wa nchi hii sjui wantuonaje SS kwamba hatujitambui au n kizaz kisicho hoji

Ripoti ya mto Mara juu ya vifo vya samaki imeniacha na maswali lukuki

Nina ng'ombe wawil hapa Tena nawafuga kisasa kwa kuwapa chakula kwa wakat lakn hawajawah kutoa kg 10 za kinyes kwa siku

Nadhan uprofes sio kusoma wanapewa TU

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Yani ingekuwa ng'ombe wanatoa kilo 25 za kinyesi kwa siku, huko kwetu kijijini tuna ng'ombe 33 ina maana kwa siku tungekuwa 825 kwa week tani 4 na nusu.
Haki hawa wanatuona sisi hamnazo
 
Kwanza hao wakufugwa kisasa hadi uwawekee majani hawawezi kufikia wakienyeji kwenye kula na kushusha kimba
 
Yaan nikiwaangalia Hawa maprofesa wetu nachoka KABISA

Wale maprof wa makinikia eti tunawadai accacia tilion 700 hata wao hawajawah kushika hyo hela

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Maadui wale wakuu bado wametamalaki, ujinga maradhi na umasikini, na sasa wamechanganywa na babu wao Rushwa, huyu professor ni mla rushwa
 
Yani Nchi inarudi nyuma kilanyanja.kwel kinyesi cha N'gombe kiuwe samaki.rubish kabisa.
Kinyesi cha N'gombe ni chakula cha samaki kwa sisi watu wa aquacture..
How do they explain about mines around that area.?wamekwepa kabisa.
 
Ni sahihi kwa ng'ombe mkubwa kutoa kinyesi kinachojaza ndoo ya lita 20 sawa na karibu 20kg.
Hivyo kusema 25kg hawajadanganya sana
Tembo ndiye anatoa 20kg kwa siku according to different sources. Sasa jamani ng'ombe amzidi hadi tembo
 
Tembo ndiye anatoa 20kg kwa siku according to different sources. Sasa jamani ng'ombe amzidi hadi tembo
Ninaongea nikisemacho.
Nimefanya utafiti katika mradi wa biogas mkuu.
Unashauriwa kufuga ng"ombe 1 ili akupe ndoo moja kubwa ya mbole 24hrs
 
Ninaongea nikisemacho.
Nimefanya utafiti katika mradi wa biogas mkuu.
Unashauriwa kufuga ng"ombe 1 ili akupe ndoo moja kubwa ya mbole 24hrs
Basi hapo sipingi maana sipngani na research. Labda ambacho ningependa kuuliza ni je ndoo 1 ya samadi ya ngombe ni sawa na 25kg? Nauliza hivyo maana ndoo hiyo hiyo ukiweka labda unga au mchamga kg zinabadilika
 
Kwa uzito unaweza kutofautiana kutokana na aina ya chakula.
Ndoo hiyo inaweza kuwa na uzito kuanzia 17-20kg kutegemea na aina ya kinyesi...chenye maji maji ni kizito na kikavu ni chepesi
 
Kwa uzito unaweza kutofautiana kutokana na aina ya chakula.
Ndoo hiyo inaweza kuwa na uzito kuanzia 17-20kg kutegemea na aina ya kinyesi...chenye maji maji ni kizito na kikavu ni chepesi
Asante kwa ufafanuzi mkuu
 
Back
Top Bottom