Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,287
- 14,592
- Thread starter
- #21
Jibu smart kabisa.Kwani 500 sio hela? Mrudishie basi wewe tuombe uzi ufutwe tajiri.
Jibu smart kabisa.Kwani 500 sio hela? Mrudishie basi wewe tuombe uzi ufutwe tajiri.
Zote tu ni jero, ila inategemea na jinsi unavyoonekana umezaliwa wapi? Kunawengine wanauziwa 800, wengine 600 na wengine 900 kulingana na unavyo onekana, ila mimi ni wakishua na mjanja zaidi nimeuziwa BUKU!, Aiseee yule mama ameniona mimi ng'ombe kwelikweli.Hivi ni soda gani inauzwa jero?
Dsm kwa wala bata.Wapi huko soda zinauzwa 500 nihamie!
Mkuu nilikua bado ninadakika nyingi mbele yangu za kufukuzia sarafu, hivyo ningepiga mambo yetu yale ningekata moto mapema siku ikaishia hapo.Eti ukapiga funda moja la soda , umenipotezea mda wangu kusoma mambo ya mnywa vyoda
.
Soda au Juisi za 300ml?Dsm kwa wala bata.
Kawaida ndio maana hata viwango huko mashuleni vinatofautiana kwa kila mwanafunzi.Kingine kimezidi aisee
Yenyewe kabisa, ishi kalibu na viwanda ule maisha, huko kwenu wanauza bei gani?Soda au Juisi za 300ml?
Inategemea na location,bei elekezi 700Yenyewe kabisa, ishi kalibu na viwanda ule maisha, huko kwenu wanauza bei gani?
Yeah! Ni kweli hata huko vijijini ni 800, ila hii ya BUKU ndani ya jiji kama Dsm huu ni upigaji wa waziwazi.Inategemea na location,bei elekezi 700
Soda hizi hizi Pepsi na Coca wanauza jero? Haupo serious weweZote tu ni jero, ila inategemea na jinsi unavyoonekana umezaliwa wapi? Kunawengine wanauziwa 800, wengine 600 na wengine 900 kulingana na unavyo onekana, ila mimi ni wakishua na mjanja zaidi nimeuziwa BUKU!, Aiseee yule mama ameniona mimi ng'ombe kwelikweli.
Mkuu me nazinywa za jero kila siku mtaani hapa.Soda hizi hizi Pepsi na Coca wanauza jero? Haupo serious wewe
Uliingia sehemu ya mamba na wewe ni mjusi tuFanta kimbaumbau, hata ingekuwa big haifiki buku, ila ndo hivyo nikamkaushia bibi wa watu.
Bas nshapata picha ya mtaa unaoishiMkuu me nazinywa za jero kila siku mtaani hapa.
Hatari sana.Uliingia sehemu ya mamba na wewe ni mjusi tu
Umeshaanza lamri chonganishi, ni mtaa gani unafikiri?Bas nshapata picha ya mtaa unaoishi