Ng'ombe hazeeki maini, leo yamenikuta kizembe

Ng'ombe hazeeki maini, leo yamenikuta kizembe

Mjusi Sharobalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2025
Posts
8,279
Reaction score
14,566
Leo kwenye pitapita zangu za kufukuzia shiling mjini, nikakutana na jamaa yangu mmoja wa kitambo hivi, Akawa amenipatia dili la maana na kushitua moyo kidogo.

Hivyo raha kunizidi moyoni, nikaamua nijivute sehemu nipate soda kidogo nimwagilie moyo. Nimemkuta binti wa zamani kidogo hayo maeneo, nimeagiza zangu soda imefika mezani, kaifungua nikapiga funda moja kwanza halafu nikauliza hii soda si jero? Kumbe nikawa nimekosea akaniona mimi wa kuja mjini hapa, akanijibu inauzwa buku. Ikabidi nivunge, nikamwambia sawa huku nashushia taratibu. Badae chupa kuisha nikavuta pochi nikamchomolea buku nikampatia nione atafanyaje kapokea kakausha, badae kidigo kanyanyuka kaingia ndani ananichungulia mlangoni aone kama naondoka au vipi, Kuona nimemshitukia kageuza na soda moja kaifungua kaanza kuishushIa taratibu. Dadeki roho imeniuma kishenzi, nashuhudia jero langu limekuwa ofa bila kibali changu mbele ya macho yangu. Anyway niliamua kukausha tu, maana amenifundisha kitu kipya, Ng'ombe hazeeki maini jambazi ni jambazi tu.
 
Leo kwenye pitapita zangu za kufukuzia shiling mjini, nikakutana na jamaa yangu mmoja wa kitambo hivi, Akawa amenipatia dili la maana na kushitua moyo kidogo. hivyo raha kunizidi moyoni, nikaamua nijivute sehemu nipate soda kidogo nimwagilie moyo. Nimemkuta binti wa zamani kidogo hayo maeneo, nimeagiza zangu soda imefika mezani, kaifungua nikapiga funda moja kwanza halafu nikauliza hii soda si jero? Kumbe nikawa nimekosea akaniona mimi wa kuja mjini hapa, akanijibu inauzwa buku. Ikabidi nivunge, nikamwambia sawa huku nashushia taratibu. Badae chupa kuisha nikavuta pochi nikamchomolea buku nikampatia nione atafanyaje kapokea kakausha, badae kidigo kanyanyuka kaingia ndani ananichungulia mlangoni aone kama naondoka au vipi, Kuona nimemshitukia kageuza na soda moja kaifungua kaanza kuishushIa taratibu. Dadeki roho imeniuma kishenzi, nashuhudia jero langu limekuwa ofa bila kibali changu mbele ya macho yangu. Anyway niliamua kukausha tu, maana amenifundisha kitu kipya, Ng'ombe hazeeki maini jambazi ni jambazi tu.
Acha umaskini dogo. 500 ndio ya kuanzisha uzi humu JF?
 
Leo kwenye pitapita zangu za kufukuzia shiling mjini, nikakutana na jamaa yangu mmoja wa kitambo hivi, Akawa amenipatia dili la maana na kushitua moyo kidogo. Hivyo raha kunizidi moyoni, nikaamua nijivute sehemu nipate soda kidogo nimwagilie moyo. Nimemkuta binti wa zamani kidogo hayo maeneo, nimeagiza zangu soda imefika mezani, kaifungua nikapiga funda moja kwanza halafu nikauliza hii soda si jero? Kumbe nikawa nimekosea akaniona mimi wa kuja mjini hapa, akanijibu inauzwa buku. Ikabidi nivunge, nikamwambia sawa huku nashushia taratibu. Badae chupa kuisha nikavuta pochi nikamchomolea buku nikampatia nione atafanyaje kapokea kakausha, badae kidigo kanyanyuka kaingia ndani ananichungulia mlangoni aone kama naondoka au vipi, Kuona nimemshitukia kageuza na soda moja kaifungua kaanza kuishushIa taratibu. Dadeki roho imeniuma kishenzi, nashuhudia jero langu limekuwa ofa bila kibali changu mbele ya macho yangu. Anyway niliamua kukausha tu, maana amenifundisha kitu kipya, Ng'ombe hazeeki maini jambazi ni jambazi tu.
Maisha magumu aisee, na tunaohonga magari je?
 
Uandishi mzuri ila contents za kishamba, ungetumia uwezo wako vizuri ungeingiza hela ila kwakuwa umechagua ujinga basi endelea nao
Usifosi tufanane, kila mtu na kiwango cha ujinga wake kichwani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom