Mleta mada em jibu hili swali, pleaseHicho kiwele hatarii ...
Ngombe wazuri na Wana afya .
Je ukiwaleta kwenye joto la dar wataendelea kutoa maziwa kiasi hicho hicho ?
Haha kwa siku sio asubuhi na jioni ila hao wana jitahidi ila kwa kawaida huwaga litre 11per dayLita 22 asubuhi na jioni
Au 22 asubuhi Tu na jioni 22 tena?
Ni nacho kijua mm ni kwamba kuna Ng'ombe wanaweza kutoa 22lts asubuhi na jioni 20lts japo huwa ktk risk sana maana huwa wanahitaji matunzo ya hali ya juu sanaLita 22 asubuhi na jioni
Au 22 asubuhi Tu na jioni 22 tena?
Wanapatikana wapi??Ni nacho kijua mm ni kwamba kuna Ng'ombe wanaweza kutoa 22lts asubuhi na jioni 20lts japo huwa ktk risk sana maana huwa wanahitaji matunzo ya hali ya juu sana
KituroWanapatikana wapi??
Wanaitwaje?
Kituro ndio wapi?Kituro
Funga kiyoyozi zizini mkuuTatizo kwa hali ya hewa ya Dar, sidhani kama hao ng'ombe watatoa maziwa kama inavyotakiwa
Qatar ng'ombe wao wanawawekea viyoyozi,Mimi nitaweka feni hasa wkt wa mchana.
... umenikumbusha Ufalme wa Qatar uliagiza mamia ya ng'ombe wa maziwa kutoka Marekani; walisafirishwa kwa Airbus na mazizi yao usipime! Ni full AC kwa viwango vya hali ya hewa ya Marekani!