Imani rubaba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 252
- 330
- Thread starter
- #61
Inategemea tunashauri ikiwezekana mteja anaweza kuzungumza na kutafuta taarifa za usafiriZinakuaje hizo gharama??
Inategemea tunashauri ikiwezekana mteja anaweza kuzungumza na kutafuta taarifa za usafiriZinakuaje hizo gharama??
Naweza kubaliana na weweNg'ombe wa maziwa ukiwanao 4 tu wanaoweza kutoa lita 10 kwa siku kwa kila mmoja ambao ni chotara unatengeneza hela nzur tu.
Kama haufugi au haujawahi kufuga ng'ombe wa maziwa utaona hizo ni kama hadithi tu lakin ukweli wanalipa.
Kuna mzee nipo nae mtaan ana ng'ombe 1 anauwezo wa kutoa lita 10 asubuh na wengne Lt 4 au 3.5 asubuh, huwa napiga nae story anasema yey halimi hela anapata kupitia ng'ombe hao hao na mashamba anayo.
Usipaniki! Jibu hoja! Unapojitokeza humu ujipangeHivi humu hua hamna kutufe cha block wapumbavu?
Asiye na mimba gharama zikoje?Inategemea tunashauri ikiwezekana mteja anaweza kuzungumza na kutafuta taarifa za usafiri
Kwakwel humu jipange😂😂😂Usipaniki! Jibu hoja! Unapojitokeza humu ujipange
Je huyo ng'ombe unayemuuza ni kizazi cha (F) ngapi?, na mbegu imethibitishwa na mamlaka ipi?Kwakwel humu jipange😂😂😂