Hakuna muda maalum wa kupima maambukizi ya VVU (Ngoma), si lazima ukitaka kuoa tu...wakati wowote ni bora kujifahamu afya yako ili mradi tu uwe ni mshiriki wa ule mchezo mtaam! Kwa wanandoa watarajiwa ni muhimu, kwa kuchela kuwa mlikuwa hamfanyi au mlikuwa mnafanya kwa kinga (condom) na sasa mkioana basi waweza kuwa ndio mwanzo wa kufanya au mwanzo wa kufanya bila kinga...kwa hiyo ni vizuri kujua afya zenu!
Kuna vituo viingi sana katika kila kona ya mji, pia zahanati, vituo vya afya na hospitali wanapotoa huduma hii. Mpaka sasa, hakuna ngazi ya kituo cha kutolea huduma ya fya ambapo hawatoi huduma hii ya usahuri nasaha na kupima VVU!
Hongera kwa kutambua umuhimu wa kupima, na tafadhali usiache!
kwa sababu naskia upande wa bi harusi wanachagua hospitalia zao kama 4 hivi
Muhimbili
Amref
Hindu Mandal
Aga Khan
sasa kucheki wanakuja jamaa kama wa 2 hivi wa bi harusi
sasa upande wa bwana harusi hamna noma kuna uwezekano wa kutafuta like minded ambao hawana noma
sasa kwenye issue ya uchakachuaji...kuna ma wili
la kwanza kupita kote huko na kutembeza noti
la pili sijajua ni nini so tumebaki na option 1
au kama ikiwezekana kama mtu unaweza kupima anonymously bila kutoa details in advance then unapitisha noti kote huko then ikija mambo ya kwenda kupima bas...kumbe wewe zamaaani ushaanza kula ma kokteil yako