kituli one
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 410
- 313
Habari zenu,ni mwisho wa Mwaka sasa na hatuna budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutuweka hai na kwa kweli namba tunaisoma aisee....Kwa upande wa burudani tunashukuru Mungu kwa vijana wetu kuendelea kutesa kimataifa,hongera kwa Diamond,Alikiba na wasanii wote waliothubutu kupambana kimataifa na kututoa kimaso maso.
Lengo la uzi huu ni kuwaletea nyimbo zangu KUMI ambazo kwa Mwaka huu nimezisikiliza sana na kwa kweli zimenibariki,kunifundisha na kuniburudisha..Angalizo orodha hii ni kwa mujibu wangu tu na si vinginevyo
10. Sema tena-DABO
9. Mama-Banana Zorro x Msechu
8. Aje-Alikiba
7. Kidogo-Diamond ft Psquare
6. Moyo mashine-Ben Paul
5. Nilipize-Ibrahnation
4. Ubarikiwe-Gozbert
3. Aza mtoto wa Kariakoo-Bonge la Nyau ft Q-chillah
2. Siwezi-Barakah
1. Acha waoane-Chege ft Diamond
Bonus
1. Kokoro
2. Kajiandae
3. Muziki
Karibuni kwa michango...maoni yangu yaheshimiwe