Ngoma ya escrow kumbe ni standard chartered


Kijana, pesa za escrow zimeanza kuwekwa mwaka 2006, au hii mada hujaisoma?
 

nina maana kama taarifa hiyo ni sahihi nasi huku hasa wanasiasa na wapambe wa humu tunarushiana makombora bila kuwa na facts ili kuridhisha mitazamo yetu kisiasa
 

usiilaumu sana TANESCO kwani mashirika mengi ya UMA yenye "mpunga" yanaingiliwa sana na wanasiasa
 
Usaid it all!By the way Mbona haya majina ya waliopokea ni wa #DiniYao tu na hata benki ni ileile ya #DiniYao ?Vipi sisi wa #Diniyetu ?

 
Naona limekugusa pazuri. Mbowe Fuso chakavu mbili million 600 Wewe unaona ni mazuri hayo? Kwa chama ambacho hata kina panga.

Hii sio ajenda ya msingi kwa sasa.....ajenda ya msingi ya sasa ni wizi wa Shilingi Bilioni zaidi ya 400...nARUDIA bILLION...YAANI BILLION
 
Naona leo mama Tibaijuka kawalipa wengi mumtetee na radioni pia tumewasikia. lakini tunachowaambia ni kuwa fisadi ni fisadi tu, na hakuanza leo. Mtaongea sana lakini ukweli unajulikana. Punda kabisa.


Faiza you are better than this......ni vipi kama ukinyamaza kutojibu issues kama hizi

So zile hela alizokiri kupokea yule mama tibaijuka ni za nani

Yaani binafsi sijamuelewa kabisa mtoa mada. Huenda ametumwa na mama Tibaijuka aje hapa ukumbini kuturubuni na kujisafisha. "MWIZI NI MWIZI TU..."

JF siyo sehemu ya kuwasafisha MAFISADI, huyu mama tumemsifia kwa kitendo chake cha kukubali hadharani kuwa alichukua mpunga wa ESCROW, sasa leo hii tunawasubiri na wengie wapate busara za Tibaijuka kwani wote wamekula. "HAKUNA SIRI CHINI YA JUA..."

Mtoa mada atafute sehemu nyingine ya kupeleka utetezi wake. Ameandika maneno mengi kiasi binafsi nimeshindwa hat kuyasoma vizuri hadi ninasinzia.......


NI PUMBA TUPU HAKUNA pOINTS KABISA... NA INAONYESHa huyu NI BINGWA WA UTUNZI WA RIWAYA.

AKAJIPANGe UPYA, TUNAMKARIBISHA....



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ulitaka kuelezea uhalisia wa jambo hili la escroll kwa jinsi unavyolifahamu au ulikusudia kumsafisha mama Tibaijuka.
 
Msipotoshe watu, account za Escrow zipo BoT na si Benki ya Mkombozi.

So Mimi ni mjinga kuwa sijuhi kuwa hela za ESCROW zina kaa BOT?
Sasa Niambie zilipotoka ESCROW zilienda wapi? sio PAP then MKOMBOZI au?

Nimabie waliokula mlungula wengi wao walilipiwa wapi?
 
alieleta huu Mnakasha naisi atakua KIBWANA DACHI wa MAGIC FM,
 
So Mimi ni mjinga kuwa sijuhi kuwa hela za ESCROW zina kaa BOT?
Sasa Niambie zilipotoka ESCROW zilienda wapi? sio MKOMBOZI au?

Nimabie waliokula mlungula wengi wao walilipiwa wapi?

Hapana, zilipotoka Bot Hazijaenda Mkombozi, tafuta facts, usikurupuke utakuwa muongo.
 

u have say somethin great, I agree with fora certain % bro. thumbup
 
Chadema madaraka wayaote tu.

Ungefatilia hiyo post ungejuwa ilichokijibu.

Kiukweli CCM imetutoa kwenye umasikini mkubwa...sashivi nchi yetu ni tajiri haswa....

Watanzania sashivi ni matajiri....

Huduma za jamii zipo za kutosha...Afya bora...elimu bora...mabarabara na viwanja vya ndege bora kabisa...

Uwajibikaji upo tele chini ya chama chetu tukufu CCM...chama chetu hakilei wala rushwa....chama chetu ni kimbilio la wanyonge.

Chama chetu CCM kimehakikisha watanzania wananufaika na rasilimali zilizopo nchini kwetu....Madini...uvuvi...gesi asilia...utalii n.k

Chini ya chama chetu jamii zote zinazozunguka hifadhi za taifa zimeboreshewa makazi yake...huduma za jamii za kutosha...jamii hizo zinaishi kwa amani tele.

Tumeweza kuendeleza viwanda vya kutosha...malighafi kutoka mashambani zinatumika katika viwanda vyetu....Sisi ndio super power katika afrika mashariki.

CCM kidumu daima milele
 

Uongozi wa awali wa CCM ndiyo ulishindwa kuweka misingi bora ya uchumi wa kujiendeleza. Fikiri, mtu unafunga kiwanda cha matrekta unafunguwa kiwanda cha majembe ya mkono! utaendelea kweli?

Lakini kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho, ndiyo kwanza Tanzania hii, uongozi huu tulionao ndiyo tunaanza kuona maendeleo haswa na yenye matarajio usoni.

Misingi mibovu ya uchumi tulivyopata Uhuru ambayo ilishindwa kabisa katika maendeleo na badala ya kutuendeleza ikaturudisha nyuma mpaka kufikia kuwa masikini wa mwisho duniani. Na sasa tunaweza kujivuna kuwa misingi hiyo mibovu tumeibomoa na ndiyo kwanza imewekwa misingi mipya ya Tanzania inayotuwezesha kujitegemea kwa uchumi wetu wenyewe.

Hilo ni wazi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…