Ngoma mpya ya Young killer na baadhi ya punchline zake

Ngoma mpya ya Young killer na baadhi ya punchline zake

Labda abadilike ila mziki wa Young Killer local sana. Nitamchagua Dee over him.
Youngkiller anapunch na amebaki palepale, nasisi mashabiki zake tunamkubali. Young dee sielewi anaimba nn siku hizi inshort hawezi kumfikia Msodoki nyakati hizi.
 
Hii series ya sinaga swaga ni motooo..
Lakini uharo wa serceto hakuna kitu
 
Youngkiller anapunch na amebaki palepale, nasisi mashabiki zake tunamkubali. Young dee sielewi anaimba nn siku hizi inshort hawezi kumfikia Msodoki nyakati hizi.
Ni vile tu tuna imani. Mi naamini katika punch na burudani zaidi.
 
Usibebe tango lote baby, ka vp tukatiane.....hii punch line imenichekesha sana wakuu.
 
Msodoki kwa Umri wake yupo njema sana..

Nimeuskia Wimbo upo vizuri.

Wachaa nimaliziee na kubwa lao au bingwa wa Utunzi Mashairi Tz kwa upande wangu One The Inclidible " Moko wa Miujiza".

Hii ni siri yenye laana kama utupu wa mzazi/

Kwa roho mkunjufu sitoruhusu utunduwazi/

Sizungumzi na mwana na zungmza na mzazi/
 
Msodoki bhana, hvi alimanisha nini aliposema "baby usibebe tango lote kama vip tukatiane" nahsi ni tusi kubwa sana...anyway wajuzi naomba mnijuze
 
Sijuagi deee anaimba nn
Tumetofautiana maskio. I mean jinsi tunavyousikia mziki. Ila when it comes about bussiness Mziki wa Dee una soko sana kimataifa. Ndo mana unaona hadi leo Killer hana hit song kubwa kuizidi Dada anaolewa!! Kujua kuandika mistari konde haitoshi kuufikisha mziki wako mbali. Hip Hop ni burudani pia why sticking with hard punches only?! Ndio vile tu maunga yalimpoteza Dee ila kwangu Killer ni emcee Dee ni msanii.
 
Napenda saana pale anapoimba kama Jua Kali
"Huo ni uongo na mnajua"
Mungu akitaka inakua"
 
Young Dee kwa sasa naona hata kwenye usanii namtoa ni kama hayuko siriaz anatuvimbia tuuuu

Back
Top Bottom