Ngoma mpya ya Young killer na baadhi ya punchline zake

uroto

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
445
Reaction score
231
Habari wanajukwaa

Nimekuwa mfatiliaji wa muziki wa hiphop kwa mda mrefu, nyimbo nyingi zimetoka hivi karibuni,ila hii ya young killer imenifanya kuukumbuka mziki mzuri wa hiphop

baadhi ya punchline zake

1-hata sauti inapaa ila huwezi kuezeka nyumba

2-nakula sana story,ila sioti kitambi

3-ndo utajua nawa tule na yaya toure wana undugu,nipe pasi ninyooshe miguu

4-kujiongeza kwenye hakuna ni tumizi baya la akili

5-usibebe tango lote babby,ka vp tukatiane

daha ngoma kali sana hii
 
Dogo yupo njema sana...mistari imekaa sana....akipata management nzuri atafika mbali sana...naskia diamond anamnyapia nyapia
 
Kama ni kweli basi jamaa atafika mbali

Leo nimepata bahati ya kutizama iyo video ni nzuri na mistari iko hot ile mbaya

Jamaa anajua
 
Dogo yupo njema sana...mistari imekaa sana....akipata management nzuri atafika mbali sana...naskia diamond anamnyapia nyapia

dogo anajua sana,sitoshangaa akisainiwa wasafi,pia diamond amefanya naye ngoma ya pamela
 
Habari wanajukwaa

Nimekuwa mfatiliaji wa muziki wa hiphop kwa mda mrefu, nyimbo nyingi zimetoka hivi karibuni,ila hii ya young killer imenifanya kuukumbuka mziki mzuri wa hiphop

baadhi ya punchline zake

1-hata sauti inapaa ila huwezi kuezeka nyumba

2-nakula sana story,ila sioti kitambi

3-ndo utajua nawa tule na yaya toure wana undugu,nipe pasi ninyooshe miguu

4-kujiongeza kwenye hakuna ni tumizi baya la akili

5-usibebe tango lote babby,ka vp tukatiane

daha ngoma kali sana hii
Nasikia kamshirikisha "BIG CHAWA" CUZIN USINTAG..
 
Nimemskia anasema mbao na simba ni watani wa jadi 😂♨️😂😂🙌🙌🙌
 
Dogo yupo njema sana...mistari imekaa sana....akipata management nzuri atafika mbali sana...naskia diamond anamnyapia nyapia
Labda abadilike ila mziki wa Young Killer local sana. Nitamchagua Dee over him.
 
Back
Top Bottom