Ngoma kali za mapenzi zilizopata kutokea katika Bongo fleva

TID
Siku kama hizi
Mrembo
Hanitaki
Watasema sana
Zeze
Girlfriend

JUX
Uzuri wako
Mwambie yeye
Napata raha
 
Iveta..... Sajna
Nitarejea....Duamond
Anita.....Alikiba
Niamini....Prof Jay
Ni wewe....Hardmad

Mjomba....Mpoto
Konki master....Dudu baya
hihihihihihi......
 
Nimekusamehe mpenzi ,buibui
Mawazo,buibui
Inatosha,msanii Mpya
Siku kama hiz,tid
Nyimbo za Alice kela
Ommydimpo kajiandae
mwanafaa , ft kiba siikumbuki jima
Diamond, ukimuona
Benipol Pete
Alikiba maumivu
Kasim mchawi, awena
Switcher baby your my
 
Jamani hivi ni mimi Sijui mziki?
Hata hiii Ngoma hamjaionaa?

1. Malaika Nyashiski

2.Bembeleza -Marlow




aeiou

Umetisha baba, wewe Unajua Muziki huo wimbo wa Malaika nilikuwa namtafuta mwimbaji miaka mingi sasa sikufanikiwa, Thanks alot kama Mungu anaendelea kukupa Uhai
 
1)Mb dogg- natamani
2)mr blue-mapozi
3)abby skillz- maria
4)dully sykes- salome
5)ali kiba-sikuoni
6)ray c- sikuhitaji
7)dataz- mume wa mtu
8)enika- baridi kama hii
9)TID- zeze
10)q chief- my boo
11) parklane- nafasi nyingine
12)suma lee- chungwa
13)pnc- mbona
14)lady jaydee- siri yangu
15)akili the brain - regina
 
1. Bod Ludala -Nimekuchagua
2. K. Bazil ft. Solo thang-Wanipa raha
3. Ismail - Ninachotaka
4. Jay Dee -Nuru ya kwetu
5. K- Lyinn ft. Jay moe- Nikipata wangu
6. Mike Tee- Je utanipenda
7. Bob Ludala- Julie
8. Ray C -Uko wapi
9.Mr. Paul - Nakuzimia
10. Mr. Blue ft. Alikiba - Mboga saba
 
Nimekusamehe mpenzi ,buibui
Mawazo,buibui
Inatosha,msanii Mpya
Siku kama hiz,tid
Nyimbo za Alice kela
Ommydimpo kajiandae
mwanafaa , ft kiba siikumbuki jima
Diamond, ukimuona
Benipol Pete
Alikiba maumivu
Kasim mchawi, awena
Switcher baby your my
Mwana FA ft Kiba unaitwa KIBOKO YANGU.

Bonus
Ally Kiba - Kuforce Mapenzi
 
Kabla mziki wa mapenzi Tanzania haujasimama, 5 zangu bora hizi hapa;
1.Nimekosa-Voice Wonder.

2.Uko wapi-Ray C

3.Maumbo-Voice Wonder (huyu namuita mchawi).

4.Aquelina-OCG

5.Sheila-Chege

Naombeni niongeze kidogo na hizi

6.Mapenzi yangu-Ray c.

7.Baby- Spark.

8. Under stand- Jay dee ft TID

9. Seya-Nguza Viking

10.Siamini-Matonya.

Mziki wa mapenzi sasa hivi haupo ulishaga simama siku nyingi.


MAGUFULI4LIFE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom