Very interesting.
Huyu atakuwa ni dada yangu mhaya maana wale unaweza fikiri mkojo kumbe ndio mtu keshazidiwa hapo??? FaizaFoxy ww kabila gani?
Qur'an 49:13.
Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. ***
Tumekujaliane kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane!
Sasa Mbona ww nakuuliza kabila hunijibu unaniletea quotes za kwenye kitabu kitukufu???
[video=youtube_share;h7y2JNV9R64]http://youtu.be/h7y2JNV9R64[/video]