Write your reply...wanaume mnaompinga mtoa Mada mnatafuta huruma ya kina Dada au kupendwa na kina dada.. [emoji23] [emoji23] eti nauliza?
Mwanaume hutakiwi kulalama au kukimbia tatizo. Ungekuja na ushauri uliompa baada ya kuona tatizo tungekuelewa ila ukisema ulimtimua ujue kila tatizo utaishia kulikimbia.
Naona una busara na unakubali kukosolewa. Basi unaonaje umkaribishe huyo shemeji umpe ushauri yaani atakuona bonge la mwanaume.Nimekuelewa mkuu ila nlipata mateso sana
Ni haki yake kusema lakini je haya aliyosema alimwambia muhusika?? Huu ni km ugonjwa yeye huyu ndiye angemsaidia huyo mdada lkn kuja kutukana huku si ustaarabu kabisaWrite your reply...wanaume mnaompinga mtoa Mada mnatafuta huruma ya kina Dada au kupendwa na kina dada.. [emoji23] [emoji23] eti nauliza?
Ni haki yake kusema lakini je haya aliyosema alimwambia muhusika?? Huu ni km ugonjwa yeye huyu ndiye angemsaidia huyo mdada lkn kuja kutukana huku si ustaarabu kabisa
Lugha aliyotumia kulalamika nayo ni chafu na inawezekana yeye ndiye ananuka maana kuna mahali kasema huyo wa jana anaenuka si wa kwanza
Lugha uliyotumia ni mbaya mno ni kana kwamba wanawake wote tunanuka!!Aisee...kapeace mimi nimesema sio wa kwanza au hujaelewa vizuri ??
Lugha uliyotumia ni mbaya mno ni kana kwamba wanawake wote tunanuka!!
Hiyo ni ajali kazini, pole lakiniI am sorry if the language used offended you, ila ile kitu iliniharibia sana siku, anyways wanawake wengine wananukia vizuri sana mpaka unataman umtafune mzima mzima