Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,539
- 11,810
Yapo ya kukaa nayo moyoni si hili la kuvumilia uvundo wa K. Lazima tuwaseme walifanyie kazi.
Sawa, ila sifa ya mwanaume nikukaa na kitu moyoni na kumaliza kimya kimya.
Aibu ya mwenzio usiitangaze.....