Najiamini mkuu😂Hahah ongea taratibu mkuu wasikusikie wataanza makombora🤣🤣🤣
Timu zinacheza kuweka rekodi😅Record fc. Mmeamua kukimbilia rekodi sio?
You're in troubles already!
Limefunguka kama choo cha kukaa😂😂😂
Pep anaongeza mkataba, subiri City ifute record zote za mwanitesa united.Mkuuu hakuna wa kuvunja rekodi yetu zaidi ya sisi wenyewe kama Manchester
Mkuu unaelewa maana ya kusema hakuna atavunja rekodi zetu kama Manchester au umevuta bangi😂😂😂😂😂😂Pep anaongeza mkataba, subiri City ifute record zote za mwanitesa united.
Manchester is Manchester hakuna Manchester nyingine mkuu😂Sisi tumeanza kushinda kabla ya mpila kutekwa na waarabu wenyw pesa