Ngoja na mimi niulize ujinga.

Njia rahisi ni kujenga strong room na kufunga kiyoyozi ili upate hewa mchezo kwisha.
 
Soma Mwanzo 1:1- 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu giza ni constant, yaani huwezi kuumba giza bali mwanga, na giza hupunguzwa na mwanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Primary tulisoma colour combination, mfano ukichanganya rangi fulani na fulani unapata rangi nyingine. Kuna zile taa za rangi, wakijua namna ya kuweka huo muunganiko kwenye bulb moja nafikiri mwanga mweusi utapatikana!!
 
Jomoni mi nimepata jibu kwa akili yangu ni hivi:-
Unatengeza/itengenezwe taa kalii zaidi ya mwanga wa nje au mwanga wa jua. Alafu zikafungwa nje kuizunguka nyumba zikiwaka kuelekea mwanga unapotokea hii itapelekea mwanga wa jua/nje kutakufika ndani ni kama rightguard kwahiyo mwanga mkali wa taa zako utapambana na mwanga hafifu wa nje na hapo ndani patakuwa na kiza totoro.
Kwa maelezo zaidi kuhusu akili yangu sema nitamupa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss waulizee walio wahi kukaa seroo watakuwambia hiii kitu inawezekana niktendo cha kuto kuruhu chanzo chochote na mwanga kuleta mwanga sehemu husikaa hapo Giza litakuwepo eneo hilo ata ikiwa ni mchana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…