Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,207
- 3,604
Mkuu umenikumbusha nikiwa shule hii mada yako kuna mdau aliwahi kuileta darasani. Au ni wewe umeamua kuileta hapa jfHivi haiwezekani kutengeneza kifaa ambacho ukikiwasha tu kinaleta giza?
Kama vile taa ukiiwasha si inaondoa giza unaleta mwanga!!!
Yaani ikiwa saa sita mchana unataka zako kulala mf...unakiwasha tu kinaondoa mwanga wote panabaki na giza totoro,ukikizima mwanga unarudi.
Yaani kwa kifupi hakuwezi kuwa na taa inayowaka mwanga mweusi(ingawa weusi siyo mwanga)...ila hapa nadhani itaeleweka zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
na mwanga wa asili ule unapitaga dirishani utauondoa vipi? wa full moon na nyotaMkuu unapaswa kuelewa kwanza maana ya giza, giza ni kutokuwepo kwa mwanga (absence of light). Hivyo ukitaka kuleta giza unaoaswa kuondoa chanzo cha mwanga
Inawezekana, safi sana kufikiria nje ya BoxHivi haiwezekani kutengeneza kifaa ambacho ukikiwasha tu kinaleta giza?
Kama vile taa ukiiwasha si inaondoa giza unaleta mwanga!!!
Yaani ikiwa saa sita mchana unataka zako kulala mf...unakiwasha tu kinaondoa mwanga wote panabaki na giza totoro,ukikizima mwanga unarudi.
Yaani kwa kifupi hakuwezi kuwa na taa inayowaka mwanga mweusi(ingawa weusi siyo mwanga)...ila hapa nadhani itaeleweka zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiseme haiwezekaniMkuu unapaswa kuelewa kwanza maana ya giza, giza ni kutokuwepo kwa mwanga (absence of light). Hivyo ukitaka kuleta giza unapaswa kuondoa chanzo cha mwanga, kwa mazingira ya nje inamaanisha uliondoe jua (kitu ambacho hakiwezekani), au ujikinge mwanga wa jua usikufikie (tengeneza chumba kisicho na madirisha)
Nimecheka hadi basi 😀😀Hivi haiwezekani kutengeneza kifaa ambacho ukikiwasha tu kinaleta giza?
Kama vile taa ukiiwasha si inaondoa giza unaleta mwanga!!!
Yaani ikiwa saa sita mchana unataka zako kulala mf...unakiwasha tu kinaondoa mwanga wote panabaki na giza totoro,ukikizima mwanga unarudi.
Yaani kwa kifupi hakuwezi kuwa na taa inayowaka mwanga mweusi(ingawa weusi siyo mwanga)...ila hapa nadhani itaeleweka zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili sio swali la kijinga kama unavyosema.linahitaji kupata utaalam wa kutosha.maana kukiwa na giza kimetengenezwa toch au balbu,kandili na koroboi sasa kitafutwe chombo kama kicho ili tupate GIZA.MADA IPO MEZANI Wana jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nipo hapa Nasubiri giza liingie nipate mbunyeMkuu umefikiria nje ya box, ni swali na swala fikirishi. Ngoja niingie maabara nitakuja na chombo cha kutengeneza giza ili muwe mnafanya ngono kiurahisi
Ipo kwenye Ilani ya ChamaHivi haiwezekani kutengeneza kifaa ambacho ukikiwasha tu kinaleta giza?