ngo ngo ngo.... Hodi

ngo ngo ngo.... Hodi

b5-click

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,194
Reaction score
2,113
jamani wenyeji me ni mgeni nimekuja kujumuika nanyi nategemea ushrkiano.!
 
karibu sana ila atutaki ufanye kama lilivyo jina lako ooh mara umekuja na ndizi mara mihogo mara machungwa hapa nooooo. uje kwa mpangirio mzuri
 
Karibu sana JF. Tegemea kupata ushirikiano wa kutosha kutoka kwangu.
 
Back
Top Bottom