Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
nilikuwa muoga wa kutukanwa na kushambuliwa kwa watu wa aina fulani hiviii bt hivi sasa naona wamepungua sana(japo hawajaisha)
ambao nilikua nikiona watu ambao waliokuwa tofaut nao wakishambuliwa
Una uhakika na unayoyasema?nilikuwa muoga wa kutukanwa na kushambuliwa kwa watu wa aina fulani hiviii bt hivi sasa naona wamepungua sana(japo hawajaisha)
ambao nilikua nikiona watu ambao waliokuwa tofaut nao wakishambuliwa
Unapiga hodi wakati ushafika chumbani..angalia hizo postshabari za kazi wana jamii hongereni kwa kazi za ujenzi wa taifa wengi mnafahamu kuwa mimi ni mgeni jamii forum inaweza ikawa kweli ...mimi ni mgeni wa ku post thread ila co mgeni wa jamii forum nilikuwa nikifuatilia sana mijadala mbalimbali humu jf(tangu deS 2006)lakini ckuwa member leo hii ndo nimeamua kuji register hivo nawaomba mnipokee VIZURI JAPO cc km cc bado 2po kwenye majonzi ya wenze2 wa kule zenj,kenya na burund....naimba 2heshimiane nahic mimi ndio member mdogo kuliko wote humujf.....assalaam aleykum...