mpambanaji kamili
Member
- Feb 21, 2015
- 74
- 34
Muda wa watu kudhalilika ndio huu,lakini jamani shughuli zake moja wapo si ndo hiyo ya Kulaghai wananchi?wanainchi wa jimbo la sengerema wamesusia mikutano ya mbunge wao kwa sababu zilizotajwa na watu wake wa karibu kuwa alikua harudi kuwaona ivo ameona uchaguzi umekaribia ndo anarudi ,wamemwambia amerud kufanya nn wamemwambia akaendelee na shughuli zake. naomba kuwasilisha
ziwa victoria lipo pale, sometimes nadhani solution sio mbunge bali ni tabia za wakazi wa paleSengerema maji ni shiiida, nimemuona leo mida ya saa 18:30 kwenye gari lake, watu wa people's naona huku wamechachamaa wanalitaka jimbo kwa nguvu, katika maongezi nikasikia mpinzani wake wa people's power wanatoka kijiji/kata moja ni mfanyakazi huko Iringa. waiting to see.but Sengerema maji ni shida kuliko hata Singida.
Wabunge/wanasiasa huwa wanakosa akili ya kuishi na wapiga kura wao kabisa,sijui huwa wanapitiwa na nini?Sengerema maji ni shiiida, nimemuona leo mida ya saa 18:30 kwenye gari lake, watu wa people's naona huku wamechachamaa wanalitaka jimbo kwa nguvu, katika maongezi nikasikia mpinzani wake wa people's power wanatoka kijiji/kata moja ni mfanyakazi huko Iringa. waiting to see.but Sengerema maji ni shida kuliko hata Singida.
weka picha
ziwa victoria lipo pale, sometimes nadhani solution sio mbunge bali ni tabia za wakazi wa pale
Ukipita sengerema mitaa ya saa saba hadi saa tisa utakua baiskeli pembeni ya barabara watu wanakunya kila kona, hakuna vyoo...
Vitu vingine wakuu ni vya kujitakia, hata aje mbunge gani pale, kama wale jamaa hawaacha mambo ya kale, wataishia kuchukia kila mtu
​ikiwezekana hata ile akiwa maliwatoYa sengerema ama ya maghorofa yake msasani!?
ikiwezekana hata ile akiwa maliwato
ziwa victoria lipo pale, sometimes nadhani solution sio mbunge bali ni tabia za wakazi wa pale
Ukipita sengerema mitaa ya saa saba hadi saa tisa utakua baiskeli pembeni ya barabara watu wanakunya kila kona, hakuna vyoo...
Vitu vingine wakuu ni vya kujitakia, hata aje mbunge gani pale, kama wale jamaa hawaacha mambo ya kale, wataishia kuchukia kila mtu
hahahaaaa, we acha kabisaHahaha! mkuu kuna tafsida, kwahiyo wakijisaidia kwenye vyoo maji yatakuja? mkuu chuki gani na mbunge yeye anaelewa vema kuwa Sengerema maji ni shiiida, hakuna hata initiative ambayo mtu anaweza sema mheshimiwa saaaaana amechukua ikashindikana, kuhusu ziwa kuwa karibu naona hauko well informed, kwa hoja hiyo watu wa Dar ungewaambia wafate maji mto Ruvu kwa ndoo!!!!.
Huyu Dogo Acha apumzike,hafai tena Sengerema,awapishe na wengine,tena Kama anao washauri waZuri asisubutu kugombea ataaibika na hasara kubwa....!! NGEREJA SENGEREMA USIENDE,UTAAIBIKA KAMA MASHA MWANZA.....visent vyako tunza kula na wanao.....!!
hahahaaaa, we acha kabisa
kutokua na choo ni ishara kwamba watu hawajishughulishi ipasavyo
Kuna maeneo yana shida na makame kama singida, mbulu, kondoa, dodoma, wamechimba visima, wametandika mabomba na wanapata maji... tena wamefanya kwa shida maana kuna ukame... sasa Sengerema wana ziwa victoria, ardhi yao teketeke, nguvu wanazo, hata water table iko juu, wangefanya jitihada binafsi wangefanikiwa zaidi kuliko kumsubiri ngeleja mzee wa kujipoza na wa wenzake
Naijui sengerema vizuri sana, nimepita karibia kila kijiji...
Ila mkuu ile ya mabaiskeli pembeni ya barabara inachekesha na kutia aibu sana, niliikuta hadi buchosha, mbaya zaidi hata wilaya ya magu hali hiyohiyo, nje tu ya ramadi unakuta jamaa wamechuchumaa, vichwa juu kama koboko anawinda, kumbe wanakata magogo:heh::heh:
Kijiji gani unakijua wewe, kazi kutokwa mvuke tuu
Si wazee walikuja na ng'ombe 10 kumtaka hagombee tenaWananchi wa jimbo la Sengerema wamesusia mikutano ya mbunge wao kwa sababu zilizotajwa na watu wake wa karibu kuwa alikuwa harudi kuwaona hivyo ameona uchaguzi umekaribia ndio anarudi.
Wamemwambia amerudi kufanya nini, wamemwambia akaendelee na shughuli zake.
Naomba kuwasilisha.
Nimeona kinachoendelea haoa kwetu na nikajua kwamba hakuna demokrasia ya kweli. Mtu akitaka kufanya mageuzi na kutumia haki take kikatiba anatengenezewa zengwe ili aonekne hafai.Huyu Dogo Acha apumzike,hafai tena Sengerema,awapishe na wengine,tena Kama anao washauri waZuri asisubutu kugombea ataaibika na hasara kubwa....!! NGEREJA SENGEREMA USIENDE,UTAAIBIKA KAMA MASHA MWANZA.....visent vyako tunza kula na wanao.....!!