M Mdanganywa JF-Expert Member Jun 15, 2009 620 342 Nov 2, 2010 #1 Wakuu, Naona wote tumeondoa kabisa macho na masikio kwa William Ngeleja kule Sengerema, na hii inampa nafasi ya kuchakachua anavyotaka. Yeyote mwenye news za huko please. Maana za kutoka huko siwezi kuita ni update.
Wakuu, Naona wote tumeondoa kabisa macho na masikio kwa William Ngeleja kule Sengerema, na hii inampa nafasi ya kuchakachua anavyotaka. Yeyote mwenye news za huko please. Maana za kutoka huko siwezi kuita ni update.