Ngeleja na utetezi wa uongo nje ya Bunge

Ngeleja kichwa maji,sijui hata hiyo degree ya saheria aliipataje.

Nina wasiwasi na mshangao mkubwa kwamba huyu ****** kikwete alitumia vigezo gani kumteua Ngeleja na Malima kishika wizara nyeti kama hii au alilazimishwa na mapacha watatu
 
Akili kama izi nazifananisha na za Shakewell before use
Wakuu mbona JK alishatoa "suluhisho" la mgao wa umeme? Suluhisho lenyewe ni hili: 1. "Ngeleja hana kosa, kosa ni ukosefu wa mvua!"2. "Sina uwezo wa kujibadili kuwa wingu na kama ningekuwa na uwezo huo ningejikusanya na kwenda kunyesha pale Mtera ili bwawa lijae!"Wakuu hapa tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria, maana majibu ya JK ni ya kukatisha tamaa mno!
 
Nimejaribu kufanya PERFOMANCE APPRAISAL YA NGELEJA na haya ndio matokeo yake:
• Accomplishments: NONE
• Goals for the next appraisal period: NONE
• Problems faced: I DONT KNOW
• Solutions tried : DAVID JAIRO IS WORKING ON IT (50MIL FROM ALL DEPTS)
• Communication skills: UNKNOWN
• Inter-personal skills: NIGHT CLUBS
• Problem-solving Skills: ZERO
• Team work; ZERO
• Adaptability/Flexibility: ZERO
• Initiative; ZERO
• Decision Making: VERY POOR
• Leadership Skills: ZERO
• Maturity: PHYSICALLY ONLY
Sasa matokeo kama ndio haya mtu kama huyu amepewaje Wizara wakati kila kitu kiko wazi hapa juu kuwa haku add value yoyote katika nchi zaidi ya kula perdiem ambazo ni fedha za walipa kodi.
Tunaandaa matokeo ya IQ yake na yakiwa tayari tutayaleta humu.

Kwa mtaji huo sifa zimwendee Raisi aliyemteuwa na mawaziri wake labda ndio kioo cha baraza la mawaziri. Usije shangaa kuona anatunukiwa medali ya ushujaa,halafu anapokewa kwa vigelele na mamluki.
 
Kama JK anaona bado anamhitaji katika baraza la mawaziri (kwa sababu wanazozijua wao), basi ampe Wizara ya Masuala ya Jinsia. Kwa ubabaishaji huu huko atakuweza!!!
 
Kuna uwezekano mkubwa Mh. Ngeleja akawa aidha hajui anachokifanya au anajidai yeye ana akili sana kuliko wa TZ wote. Kila mtanzania aliyekuwa anaangalia Bunge live jana saa 11:00 -11:15 wakati Waziri Mkuu anatoa comments za kusitisha kupitishwa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini alisikia SABABU KUU za kutopitishwa kwa bajeti ni Wizara kutoainisha mkakati wa haraka wa kumaliza tatizo linaloendelea la mgao wa umeme nchi nzima. Hii ndiyo sababu Waziri Mkuu akaliomba Bunge wiki 3 ili waandae huo mkakati wa kuondoa tatizo la umeme na wa ulete mbele ya bunge.

Cha kushangaza Ngeleja alipotoka nje ya ukumbi na kuhojiwa na waandishi alisema kinafiki" kwanza nawashukuru wabunge kwa kuliona hili kwamba eti bajeti imehairishwa kwa sababu wizara haikupangiwa hela za kutosha na hizi wiki tatu ni za kutafuta hizo hela then warudishe bajeti bungeni" . Hapa alitofautiana kwa kiasi kikubwa si tu na waziri mkuu bali na wabunge na kujaribu kueleza uongo wa papo hapo kuhusu sababu za bajeti yake kukataliwa.
Hii inadhihirisha bado Ngeleja hajalielewa tatizo la mgao wa umeme na hataki kulielewa na hii ni hatari kama atahusishwa kwenye hiyo task force ya Waziri Mkuu kwa sababu mawazo yake bado yana chembe chembe nyingi za ubabaishaji na atakwamisha hiyo task force. Pia kwa utetezi wake wa uongo jana pale nje ya ukumbi wa bunge inadhihirisha jinsi Ngeleja alivyo incompetent na kazi anayoifanya na pia jinsi ambavyo serikali inatakiwa impunguzie mzigo haraka iwezekanavyo kumpangia kazi anayoweza kuifanya kwa uaminifu, ufanisi na umakini zaidi.
Kwa ufupi uwaziri imemshinda Ngeleja na ni wazi inaonekana ni kikwazo kikubwa cha kutatua tatizo kubwa linaloikabili nchi kwa sasa.

View attachment 34088

Wana JF munisamehe bure

Kweli Mtu leo akaniambie niwe Snaper na practice ya kwanza ngeleja na Malima period, Huwezi kujibu au kutoa maoni yako kimzaaa namna hile una jeuri gana Ngeleja na Malima nchi za watu tayari hamko kazini, Nchi hii ina watu wana huruma sana ingekua nje huko nawambieni ngeleja ukipita unapondwa mawe kwanza usalama wako kwa sasa uko hatarini utembee na askari, nchi imechukizwa sana esp hao wabunge wa CCM sidhani kama watakuacha ni umewavua nguo live na huyo Katibu wako Jailo ati huwa mna 10% kuwa rubuni watu bungeni Budget yenu ipite kwani wizara zote ni a big scandal nashangaa wananchi mpaka sasa wame kaa ndani wangekuwa mnazi mmoja now kushinikiza barua yako ya kujiuzuru au Rais wako aachie madaraka period. Kama mambo yana kwenda hivi JK atafika kweli 2015?
 
Kwangu mimi hata kama Ngereja angejibu vizuri kwangu angebaki na hadhi yake ya waziri asiye faa.
 
Nimejaribu kufanya PERFOMANCE APPRAISAL YA NGELEJA na haya ndio matokeo yake:
• Accomplishments: NONE
• Goals for the next appraisal period: NONE
• Problems faced: I DONT KNOW
• Solutions tried : DAVID JAIRO IS WORKING ON IT (50MIL FROM ALL DEPTS)
• Communication skills: UNKNOWN
• Inter-personal skills: NIGHT CLUBS
• Problem-solving Skills: ZERO
• Team work; ZERO
• Adaptability/Flexibility: ZERO
• Initiative; ZERO
• Decision Making: VERY POOR
• Leadership Skills: ZERO
• Maturity: PHYSICALLY ONLY
Sasa matokeo kama ndio haya mtu kama huyu amepewaje Wizara wakati kila kitu kiko wazi hapa juu kuwa haku add value yoyote katika nchi zaidi ya kula perdiem ambazo ni fedha za walipa kodi.
Tunaandaa matokeo ya IQ yake na yakiwa tayari tutayaleta humu.

• Solutions tried : DAVID JAIRO IS WORKING ON IT (50MIL FROM EACH DEPTS)

Alafu leo mwasema nchi ni maskini twataka wafadhili watupe pesa jamani kumbe hawa viongozi wanatuibia kabisa tunaanza kukosa imani na Wabunge kama Jailo anafanya hivi je Hizo wizara zingine Je?

Hosea Uko wapi au nawe wangoje Rais arudi? Maana kwa hali ilivyo kweli nchi yetu haina chombo cha kuitaji uchunguzi wa haraka kufanyika mbona hiyo ni scandal ya Rushwa na iko wazi wasomi wetu wa KATIBA na SHERIA watupe details kuhusi hili serikali itatudangaya tena, Na ndio maana wanataka Katiba iwe 2014 me sikubali kuanzia leo me nataka wananchi tuidai KATIBA kuanzia 2012/13 period
 
Wakuu mbona JK alishatoa "suluhisho" la mgao wa umeme? Suluhisho lenyewe ni hili: 1. "Ngeleja hana kosa, kosa ni ukosefu wa mvua!"2. "Sina uwezo wa kujibadili kuwa wingu na kama ningekuwa na uwezo huo ningejikusanya na kwenda kunyesha pale Mtera ili bwawa lijae!"Wakuu hapa tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria, maana majibu ya JK ni ya kukatisha tamaa mno!

Haya ndio majibu rahisi na mepesi ya JK. Mzee wa kaya hataki kuumiza kichwa kwani leo yuko Roben Island kutembelea gereza alilokuwa Mandela. Majibu yake ni simple mno na kama ni hivi hatunaye rais ila kuna mtu lazima amekabidhiwa jukumu la kuongoza nchi ila siyo Pinda. Sijajua ame delegate madaraka kwa nani
 
Kama JK anaona bado anamhitaji katika baraza la mawaziri (kwa sababu wanazozijua wao), basi ampe Wizara ya Masuala ya Jinsia. Kwa ubabaishaji huu huko atakuweza!!!

Mkuu hata huku akipelekwa ndio kabisaa anaweza kusababisha Jinsia zitolewe kwa mgao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna uwezekano mkubwa Mh. Ngeleja akawa aidha hajui anachokifanya au anajidai yeye ana akili sana kuliko wa TZ wote. Kila mtanzania aliyekuwa anaangalia Bunge live jana saa 11:00 -11:15 wakati Waziri Mkuu anatoa comments za kusitisha kupitishwa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini alisikia SABABU KUU za kutopitishwa kwa bajeti ni Wizara kutoainisha mkakati wa haraka wa kumaliza tatizo linaloendelea la mgao wa umeme nchi nzima. Hii ndiyo sababu Waziri Mkuu akaliomba Bunge wiki 3 ili waandae huo mkakati wa kuondoa tatizo la umeme na wa ulete mbele ya bunge.

Cha kushangaza Ngeleja alipotoka nje ya ukumbi na kuhojiwa na waandishi alisema kinafiki" kwanza nawashukuru wabunge kwa kuliona hili kwamba eti bajeti imehairishwa kwa sababu wizara haikupangiwa hela za kutosha na hizi wiki tatu ni za kutafuta hizo hela then warudishe bajeti bungeni" . Hapa alitofautiana kwa kiasi kikubwa si tu na waziri mkuu bali na wabunge na kujaribu kueleza uongo wa papo hapo kuhusu sababu za bajeti yake kukataliwa.
Hii inadhihirisha bado Ngeleja hajalielewa tatizo la mgao wa umeme na hataki kulielewa na hii ni hatari kama atahusishwa kwenye hiyo task force ya Waziri Mkuu kwa sababu mawazo yake bado yana chembe chembe nyingi za ubabaishaji na atakwamisha hiyo task force. Pia kwa utetezi wake wa uongo jana pale nje ya ukumbi wa bunge inadhihirisha jinsi Ngeleja alivyo incompetent na kazi anayoifanya na pia jinsi ambavyo serikali inatakiwa impunguzie mzigo haraka iwezekanavyo kumpangia kazi anayoweza kuifanya kwa uaminifu, ufanisi na umakini zaidi.
Kwa ufupi uwaziri imemshinda Ngeleja na ni wazi inaonekana ni kikwazo kikubwa cha kutatua tatizo kubwa linaloikabili nchi kwa sasa.

View attachment 34088

Napenda Kujau Ngeleja kabla ya kuwa mbunge na kuwa waziri alikuwa akifanya kazi kwa nani, Company ya nani, Rostam, JK, EL, au Serikalini?

Najaribu kuja Uzalendo wake umeegemea wapi?
 
Tunachoona ktk Wizara ya Nishati ni failure ya leadership from the top period
 
dah! sasa kwenye semina elekezi juzijuzi hapo kabla ya hili bunge la budget walikua wanaelekezana nini hasa? wote hao, jairo na ngeleja walihudhuria!!! yaani inatia uchungu na kusikitisha sana.........

....lakini anyway nchi inapata aina ya viongozi inayowastahili i.e. viongozi ni reflection ya wanaowaongoza. may be ngeleja, jairo na jk types ndo' stahili ya Tanzania na waTZ..... coz kama ni nchi nyingine (hata baadhi ya nchi za kiafrika!) wananchi wangekua washaingia street kuwawajibisha!
 
Kuna uwezekano mkubwa Mh. Ngeleja akawa aidha hajui anachokifanya au anajidai yeye ana akili sana kuliko wa TZ wote. Kila mtanzania aliyekuwa anaangalia Bunge live jana saa 11:00 -11:15 wakati Waziri Mkuu anatoa comments za kusitisha kupitishwa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini alisikia SABABU KUU za kutopitishwa kwa bajeti ni Wizara kutoainisha mkakati wa haraka wa kumaliza tatizo linaloendelea la mgao wa umeme nchi nzima. Hii ndiyo sababu Waziri Mkuu akaliomba Bunge wiki 3 ili waandae huo mkakati wa kuondoa tatizo la umeme na wa ulete mbele ya bunge.

Cha kushangaza Ngeleja alipotoka nje ya ukumbi na kuhojiwa na waandishi alisema kinafiki" kwanza nawashukuru wabunge kwa kuliona hili kwamba eti bajeti imehairishwa kwa sababu wizara haikupangiwa hela za kutosha na hizi wiki tatu ni za kutafuta hizo hela then warudishe bajeti bungeni" . Hapa alitofautiana kwa kiasi kikubwa si tu na waziri mkuu bali na wabunge na kujaribu kueleza uongo wa papo hapo kuhusu sababu za bajeti yake kukataliwa.
Hii inadhihirisha bado Ngeleja hajalielewa tatizo la mgao wa umeme na hataki kulielewa na hii ni hatari kama atahusishwa kwenye hiyo task force ya Waziri Mkuu kwa sababu mawazo yake bado yana chembe chembe nyingi za ubabaishaji na atakwamisha hiyo task force. Pia kwa utetezi wake wa uongo jana pale nje ya ukumbi wa bunge inadhihirisha jinsi Ngeleja alivyo incompetent na kazi anayoifanya na pia jinsi ambavyo serikali inatakiwa impunguzie mzigo haraka iwezekanavyo kumpangia kazi anayoweza kuifanya kwa uaminifu, ufanisi na umakini zaidi.
Kwa ufupi uwaziri imemshinda Ngeleja na ni wazi inaonekana ni kikwazo kikubwa cha kutatua tatizo kubwa linaloikabili nchi kwa sasa.

View attachment 34088

huyu kweli shati au pazia? maana hata kudanganya kwake taabu.
 
wakuu nimechoswa kusikia upupu huu wa ngeleje,yule amewekwa pale for the interest of some corrupt group in ruling party
 
Tuanze na aliyemteua huyu ngeleja!
Anajua kuwa tz kuna tatizo kubwa la umeme na linaadhiri uchumi wa nchi na uchumi wa mtu mmoja mmoja?

Nina uhakika hajui
 
Wakuu, ni vema tujiulize kama kweli Ngeleja aliteuliwa kutekeleza chochote muhimu hapo wizarani zaidi ya kuzuia madudu yaliyokwishafanywa na wanamtandao yasiendelee kuvuja. Baadhi ya mawaziri wa JK wameteuliwa kwa malengo tofauti sana na yale yanayotajwa kuwa majukumu yao. Kama mtafuatilia vizuri angalieni uteuzi wa JP Magufuli tangu JK ameingia Ikulu. Utagundua kwamba aliteuliwa kukwepa maswali ya wananchi pale mwanzoni na aliondolewa maeneo aliyojaribu kufurumua rushwa sugu kama kule ardhi. Baada ya JK kushindwa kuwavutia wananchi karata ikawa kumpa ujenzi walau kurejesha mvuto wa watu. Hapo pia alikwamishwa bomoa bomoa kwa kuwa mafanikio yake yanaweza kumjenga kugobea urais 2015 kitu ambacho wakubwa wengi hawapendi nk.
Wengine ni mawaziri ili kubalance mgawanyo wa nafasi hizo kimikoa ndiyo maana unakutana na watu kama Wasira, Kawambwa nk ambao hata ukiulizwa wanaweza nini huwezi kujibu.
 
Back
Top Bottom