nyangasese
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 129
- 22
Jeuri ya pesa na kufuru ya matumizi makubwa ya mabiloni ya fedha anayotumia waziri huyu yameleta taharuki kubwa hapa Mwanza.
Kwanza jengo la magholofa mawili yaliyoungana lilopo ktk kiwanja namba7 kitalu o barabara ya Rufiji,linaweza kuwa moja kati ya majengo 5 ya thamani ktk jiji.pili amenunua nyumba3 karibu najengo hilo kwa sh mil 400 kila nyumba sasa anafanya maongezi na wamiliki wengine wa nyumba nyingine3 ktk mtaa wa pili unguja ili anunue na kuvunja nyumba zote6 ili kupata parking.ktk mtaa huo amekwaa kisiki baada ya nyumba moja ya watoto yatima kuinunua kinyemela kwa sh mil 60 kuamuliwa na mahakama kuirejesha.Hayo yote anayafanya kupitia kwa
diwani mmoja waccm wilayani sengerema ambaye ni mvuvi
Vitega uchumi vya serikali hivyo.. acha presha wewe.. kama iliwezekana kwa wahindi na wazungu miaka ya 60 kupitia azimio la arusha itashindikanaje kwa watu weusi miaka ya 2015/2020
Jeuri ya pesa na kufuru ya matumizi makubwa ya mabiloni ya fedha anayotumia waziri huyu yameleta taharuki kubwa hapa Mwanza.
Kwanza jengo la magholofa mawili yaliyoungana lilopo ktk kiwanja namba7 kitalu o barabara ya Rufiji, linaweza kuwa moja kati ya majengo 5 ya thamani ktk jiji.
Pili amenunua nyumba3 karibu najengo hilo kwa sh mil 400 kila nyumba sasa anafanya maongezi na wamiliki wengine wa nyumba nyingine3 ktk mtaa wa pili unguja ili anunue na kuvunja nyumba zote6 ili kupata parking.
Ktk mtaa huo amekwaa kisiki baada ya nyumba moja ya watoto yatima kuinunua kinyemela kwa sh mil 60 kuamuliwa na mahakama kuirejesha. Hayo yote anayafanya kupitia kwa diwani mmoja wa CCM wilayani Sengerema ambaye ni mvuvi
Nchi inaliwa na wenye meno!
january makamba rais wangu 2015, naomba usiache vita dhidi ya huyu mdudu kwani lengo lake ni unyamaze. amchafue dadako, akuchafue wewe na barua pepe feki lakini siku yake itakuja ukishakuwa rais ataima nchi kama binamu yake Lau Masha. usinyamaze ukatuacha gizani na huyu mtu akaendelea kutumaliza kiasi hiki
Unaota eeh! Endelea kuota hvyohvyojanuary makamba rais wangu 2015, naomba usiache vita dhidi ya huyu mdudu kwani lengo lake ni unyamaze. amchafue dadako, akuchafue wewe na barua pepe feki lakini siku yake itakuja ukishakuwa rais ataima nchi kama binamu yake Lau Masha. usinyamaze ukatuacha gizani na huyu mtu akaendelea kutumaliza kiasi hiki
Mbaya zaidi ni kutaka kuwaibia hata yatima mali yao.Ama kweli hii laana kubwa kunyanayasa hao yatima.Huyu ni mtu gani asiye na huruma kwa watanzania yaani mnatenda dhambi hadi kufuruPoleni Watanzania kwa kuibiwa keki yenu na mafisa wachache