tuache siasa za kutoana kafara kwa baadhi ya watu na siasa za majungu. Ngeleja mimi naona yuko vizuri kisiasa. Mwanasiasa mtulivu na anayetabirika. Tatizo la nchi yetu kwa sasa watu wanataka umaarufu binafsi tofauti kabisa na ndg. Ngeleja. Piga kazi kiongozi achana na majungu utafika mbali