Wewe kioju hujui nini unazungumza au hujui nini unafanya Ngeleja amesaidia chama chake cha CCM kimepata 83% dhid ya17% za CDM richa ya kashfa za kinafiki na zakuzushiwa za escrow, we kioju unazungumza propaganda tu na siasa za maji taka lakini unajua kuwa ngeleja uwezo wake Mkubwa na ana legacy kubwa hapa nchini.
Wewe ndo humtaki ila wanasengerema kwake ni mia mia. Uchaguzi serikali za mitaa kashinda kwa ushindi wa kishindo wa 83% against 17% Ukawa halafu ujibalaguze kuwa hana kitu jimboni.
Kwa taarifa yako, Ngeleja ni level ya kitaifa, presidential post na sio habari ya Ubunge. Nyie jibalaguzeni tu ila yeye hana tatizo na wana sengerema maana anajua akitaka jimbo wiki moja tu anachukua jimbo.
Dream on mr. Dreamer ngereja akigombea uraisi nachukua form kwa chama cha SAU ambacho hakitambulik na watanzania walio wenp alafu namshnda kwa mbali tu,
Afu nyie wapambe wa ngereja heb msimdanganye jamaa yenu ili mpewe hela wachumia tumbo nyie, mwambien ukwel achen kumjaza ujinga et level za ugombea urais du! Unafikir urais n kuamka asubuh na kuutaka, ila mkuu wa kaya kafanya nchi hii ionekane urais n kitu cha kawaida sana hadi kina ngereja mawazir waliokua mizigo kwenye wizara wakabebwa had na mbeleko ya chuma ikashndkana mwishowe wakatapkwa et nao wanawaza level za urais! Ngoja nilale mie, mpe salamu mwambie hvyo hvyo kwamba akitaka jimbo hli alitafte ndan ya wiki mbili na ukumbuke zile rushwa alizokua anazitawanya kipnd cha kura za maon ndan ya chama dhid ya kijana mwelev Shejamabu ilikua ni jeur ya uwazir sasa sahv na vjisent vya ubunge lazima atoe ulimi ka pupy aliekmbiza mwiz
Mawazo yako mafupi kama maisha ya funza kwani kuna Mtu special kuwa raisi? Ngeleja uwezo wake Mkubwa sana hauwezi kuyumbishwa napropaganda za wasakatonge kama wewe unayetumiwa kama dekio.
Mawazo yako mafupi kama maisha ya funza kwani kuna Mtu special kuwa raisi? Ngeleja uwezo wake Mkubwa sana hauwezi kuyumbishwa napropaganda za wasakatonge kama wewe unayetumiwa kama dekio.
Sidhani kama kweli wewe ni mwana sengerema au unatend kuwasemea wana sengerema.
Maamuzi ya Sengerema yako mikononi mwetu watu wa sengerema.
Well done Ngeleja, njia ni Nyeupe kwako kwa ngazi ya juu zaidi kuliko hata huo ubunge.
Dah! Mbona watanzania tunapenda sana kujisahaulisha? Ni juzi tu mabomu kwa mara ya kwanza yalipigwa mjini Sengerema baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa kuiendea vibaya CCM na hali ilikuwa mbaya mno kwa CCM. Uchaguzi ulipomalizika mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita bwana Msukuma alikuja na kusema bayana kuwa uchaguzi umeiendea vibaya CCM mjini Sengerema kwa sababu kuna vyuo viwili maeneo ya mission, wanachuo wa nje ya nchi walijiandikisha ili kuipigia kura CDM na maeneo mengine kijana mmoja alijiandikisha mara sita ili kuipa ushindi CDM! Huyo ni mwenyekiti wa chama wa mkoa aliyasema hayo....sasa kwa sababu hizo za kitoto za mwenyekiti bado manadanganya watu CCM nambari wani mjini Sengerema?